Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio...
Baadhi ya watumiaji tofauti wa mitandao ya kijamii walichapisha taarifa Agosti 05, 2025 wakieleza kuwa kuna chombo cha anga ambacho kimekuwa kikionekana mara kwa mara na kukinasibisha kuwa ni uvamizi wa viumbe vya aliens ambao watakuwa wameweka makazi yao katika eneo la Pico de Orizaba. Tazama...
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
"Kufuatia uvumi...
Mfanyabiashara na mwanasiasa Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa na baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa katika viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumanne Julai 30, 2024 jijini Dar es Salaam.
Boniface mkazi wa Mbezi Msakuzi Dar...
ABC wamerusha taulo,
Na kuuzwa kwa access bank,
Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1,
Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti,
Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja,
Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao
Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...
Kesi namba 11805/2024 inayomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob na Godlisten Malisa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Saalam limeahirishwa hadi tarehe 04 Julai 2024 ambapo usikilizwaji wa awali wa shauri hilo utaanza.
Baada ya kesi hiyo kuahirishwa, Jeshi la...
Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024
Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake.
PIA SOMA
- Boniface Jacob na Godlisten Malissa...
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki
Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.
Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea
Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.