kuzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

    Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa. Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
  2. Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  3. Simba & Yanga Wameibuka Kuja Kuzima Vuguvugu La "No Reform No Election"

    Nimewai kusoma kitabu cha ‘War Made Easy: How Presidents and Pundits Keep Spinning Us to Death’ kitabu kimeandikwa mwaka (2005) na Norman Solomon. Moja ya mstari katika kitabu icho unasema “..., (he) alleges that many government administrations have distorted facts and manipulated the media to...
  4. Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

    Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election. 😃😃
  5. Je Gwajima katumwa kuzima ajenda ya NO REFORM NO ELECTION?

    Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election. Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election. Kwanini anavitetea...
  6. Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  7. Mbinu ya kuzima mabadiliko ya watu wenye tamaa za madaraka imefeli badala yake imechochea mwamko mkubwa wa mabadiliko nchini na duniani kote

    Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo, uwenda pia bunge la marekani na dunia...
  8. Russia yasaidia Iran kuzima moto kwenye Bandar Abbas!!

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili kusaidia juhudi za kuzima moto kufuatia mlipuko wa jana kwenye bandari ya Bandar Abbas kwenye Ghuba ya Uajemi.
  9. IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  10. Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

    Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama. Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
  11. GARI AUTOMATIC KUZIMA GHAFRA IKIWA KWENYE MSELELEKO

    Kwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
  12. M

    Noah old model kuzima ikiwa kwenye mwendo mdogo

    Gari aina ya Noah (old model – SR40) inakuwa kama inatetemeka /kushtuka na kuzima ikiwa inatembea kwenye mwendo mdogo (RPM ikiwa chini ya 1,000).Inatokea mfano ukisharuka tuta wakati wa kukanyaga mafuta. Ikizima unawasha na unaendelea na safari. Ukiwasha ‘’silensa’’ ipo vizuri na hakuna ‘’misi’’...
  13. M

    Baada ya kuzima mashambulizi ya Irani Israel imeendelea na mshambulizi huko Lebanon

    CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo. Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo. Source: CNN
  14. Najiuliza tu, ile nguvu kubwa kuzima maandamano was it really necessary?

    Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa. Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na polisi defender kem kem kutoka sehemu zote za Tanzania. Vijana wamekula posho kwa kusikmama kwenye...
  15. Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  16. Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

    Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
  17. S

    Msaada: Screen ya TV AilLyons inazima Kila baada ya dakika 50

    Ni skrini ya mpiga kura AILYONS, hutoa ujumbe kuwa inazimika.....bonyeza any key ndipo inaendelea. Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
  18. D

    PreGE2025 Mbinu ya kuzima maandamano ya 24/1/2024 yafichuka

    Chadema iwe makini. Uwezekano wa viongozi wao kukamatwa asubuhi majumbani mwao wasitoke ni mkubwa. Vyombo vya habari kuzuiwa kuchukua picha wakizuiwa (kifungo cha nyumbani kwa masaa) ni mkubwa. Polisi kuwahi Mbezi na Buguruni mapema na kupiga virungu kila atakayefika hapo hususan vijana...
  19. Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao

    RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023. NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
  20. Hii ndio Tanzania bwana: Jamaa alifunga duka na kuzima simu kisa kwenda kuangalia mechi ya Simba

    Peace be upon ya'all, Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba. Next day shedule yangu ilikua tight...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…