Pc yangu ni hp ryzen taa ya pc nikiweka chaji inawaka na kuzima rangi nyekundu, nikajaribu kutoa betri inaendelea vile vile ila safari hii ni taa nyeupe,,nimejaribu kuwasha lakini haiwaki,,nimebadilisha chaji lakini ni vilevile shida ni nini na inawaeza kutengenezeka?