Anaandika, Robert Heriel
Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...