kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

    Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala. Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga. Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

    Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote 2. Faida zao zikoje 3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

    Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
  5. JamiiForums Tanzania Billion 25 kutumika kuwekeza kwenye startups

    https://x.com/moodewji/status/1998734094558179556?s=20
  6. JamiiForums Tanzania Fursa za kuwekeza wilayani biharamulo, ardhi sio tatizo ,karibu

    BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC πŸ“ž +255 763 773 192...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Sekta binafsi inapaswa kuwekeza katika Takwimu

    Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
  8. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. πŸ” Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi mtanzania anaweza kwenda China na kuwekeza kwenye michezo ya kamari kama za Madubwi.

    Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
  10. JamiiForums Tanzania Ewe mtumishi usisubiri pension, anza kuwekeza kwa ajili ya kesho yako

    🌱 Ewe Mtumishi, Wekeza Leo kwa Ajili ya Kesho Yako! Kila mwezi unapopokea mshahara wako, jiulize: Je, sehemu ya mshahara huu inafanya kazi kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye? Watumishi wengi wa umma na sekta binafsi hujikita kusubiri kiinua mgongo – kile wanachokatwa kila mwezi na mifuko ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni njia gani sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya badae hasa ya uzeeni

    Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee, wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita. Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika Je, ni njia gani sahihi ya...
  12. JamiiForums Tanzania πŸ“˜Somo la 7: Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza

    πŸ” Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? πŸ’­πŸ’° Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize. ❓Je...
  13. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kwa kuwekeza kwenye Betting

    Najua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi hadi watu wakuonee wivu na kukuita majina ya ajabu. Chakufanya funguackampuni ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa aikaribisha Japan kuwekeza nchini

    29 May 2025 Tokyo, Japan PM MAJALIWA - JAPAN YAKARIBISHWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=OZi6y1z9ffE Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa asema kuwa Japan imekubali sasa kufanya ubia na wazawa wa kiTanzania kufungua biashara na miradi mikubwa Tanzania Kimkakati...
  15. JamiiForums Tanzania Jerry Muro haelewi kama hakuna mwekezaji ataenda kuwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana?

    Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
  16. JamiiForums Tanzania Kuvaa shati moja kila siku sio umaskini

    Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa. Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake. Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
  17. JamiiForums Tanzania Diaspora Messenger, nipo hapa, usihofu tena kuwekeza Nyumbani kwa kuibiwa , kutapeliwa na ndugu au watu ambao sio waaminifu karibu unitume.

    Wakuu habari. Mimi kwa sasa , ninafanya kazi Kama Diaspora Messenger. Kazi ninazofanya ni Kama kuwawakilisha watanzania wote waliopo nje ya nchi kwa kufanya Kazi zao mbali mbali. Ikiwa wewe ni Diaspora unahitaji MTU mwaminifu utakayekuwa unamtuma kufatilia Kazi zako , naomba tuwasiliane...
  18. JamiiForums Tanzania Wale wanaotamani kuwekeza katika Appartments piteni hapa

    2 bedrooms, sebule, jiko each unit (JENGP LINA UNITS 2) Plot size ya 600SQM zinaingia units 5. CALL US TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM +255624004650
  19. JamiiForums Tanzania Rahim Mwanga: Kustaafu hakupaswi kuwa chanzo cha matatizo ya kifedha, Watumishi jifunzeni kuwekeza mapema

    Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake. Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
  20. JamiiForums Tanzania Sitawasamehe Wenye Mamlaka kwa Kuruhusu Wawekezaji wa Kamari wa Kichina Kuwekeza Mashine Zao za Kamari Kijijini Kwetu Ngangu

    Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho. Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…