Friends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi
Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale.
Ndio wana point ila ni za kinafiki.
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.
Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi...
Naona kwa anae kosoa serikali sasa hivi anapigiwa simu za vitisho, hii hali sasa imeanza kuota mapembe kwenye utawala wa samia sikuwai kusikia kitu kama hiki hapo awali.
Ninachotaka kusema kwamba watanzania tunapaswa tuipinge kwa nguvu zote isizoeleke tunazo nguvu zote kuikomesha tabia hii...
Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad.
operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake.
imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
bank
gaza
hamas
israel
jeshi
jeshi la israel
jihad
kituo
kiwanda
kuanza
kubwa
kundi
kuwasaka
maabara
mabomu
magaidi
magharibi
maisha
makazi
makazi ya watu
msikiti
ndani
operesheni
palestina
raia
vita
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki .
Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama.
Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa kiurahisi tu eti , Kuna matengenezo siku tatu kweli?
Na bado mwisho wa mwezi bili unakuja kubwa...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru.
Mtatiro ametekeleza wajibu kwa kuzitembelea familia tatu ikiwemo familia ya mtoto Zawadi Mustapha Chiwaulo (miaka 14) ambaye anapaswa kuripoti Shule ya Sekondari...
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza
3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya...
Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanza oparesheni maalumu ya kuwasaka wanafunzi wa kike wanaojiuza katika vyuo vikuu na wanaojihusisha na mapenzi ya jinzia moja kwenye kumbi za starehe na eneo la mataa ya kuongozea magari.
Oparesheni hiyo itahusisha wamiliki wa nyumba walizopanga kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.