Wakati Mahakama ya Kimataifa Uhalifu wa Kibinadamu (ICC) ikitarajiwa kuchagua majaji wapya ifikapo Desemba mwaka huu, Jaji Deo John Nangela amejitokeza kugombea nafasi hiyo.
Kuonyesha kuwa Jaji Deo ana Baraka za Serikali ya Tanzania, Januari 28, 2026, Balozi wa Tanzania the Hague Netherlands...
Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu.
Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa.
Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha...
Laila Rajab Khamis
Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu.
Watanzania...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa.
Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe kuacha kutoa shutuma zisizo na sababu wakati Luhaga Mpina...
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya...
Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel.
Binafsi nimefurahi mno, maana tuzo hii alishinda mkongo mmoja mwaka 2018, tunataka na mtu kutoka East...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini.
Salum atachuana na wagombea wengine watano.
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025.
Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa.
Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao.
Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru.
Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli.
Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?
Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025
Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwa sasa, alitoa tangazo hilo kupitia machapisho kwenye mtandao wa X...
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la
Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mbunge wa Mwibara mkoani Mara, Mutamwega Mgaywa amekusudia kukata rufaa kwenda Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, kupinga mchakato huo
Msingi...
Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, kimesema Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni atachukua fomu za kutetea nafasi yake kwa muhula mwingine wa miaka mitano katika uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao 2026.
Kama atachaguliwa, Museveni ataongeza utawala wake wa takriban...
Kumekucha ,kumekucha
Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa
Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria
Baada ya...
Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini.
Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.