kuvunjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nini kilianza kuvunjwa, je ni amani au haki ?

    Serikali, wengi wa wana CCM na baadhi ya watu,, wamesimamia upande mmoja tu. Kutuambia tudumishe amani., amani, amani na hawana neno jingine angalau la tofauti. Wapinzani, wanaharakati, na wadau baadhi, wamesema wanahitaji amani inayoambatana na haki. Angalau wao, wanaona mambo yote mawili...
  2. Rufiji dam

    Katiba inasemaje kuhusu nafasi za Mawaziri mara baada ya Bunge kuvunjwa?

    Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria inasemaje nafasi ya Uaziri pindi Bunge linapovunjwa.
  3. J

    Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo poteza haki ya kuwa Mbunge automatically anapoteza hadhi ya kuwa Waziri. Na iko wazi ki Katiba...
  4. L

    Hati Ya Kuvunjwa Rasmi Kwa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  5. J

    Pamoja na Kanisa lake kuvunjwa lakini Askofu Gwajima bado ana Msikiti alioujenga kule Salasala

    Tunakumbushana tu kwamba Askofu Gwajima amekuwa akitoa Huduma za Kiroho kwa Waumini wa Dini zote akiwa na Majengo zaidi ya 2000 ya kuabudia Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na huko maeneo ya Kusini pia Ahsanteni sana Kwako Ustaadh THE BIG SHOW 😂✔️
  6. Parabolic

    Askofu Mwanamapinduzi: Kanisa la KKAM tulipokuwa tukisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara

    Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara. Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
  7. Knock life

    Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  8. Lord Denning

    Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
  9. S

    Wanasheria nn sababu ya bunge kuvunjwa tarehe 3 August na siyo leo?

    Hivi huu ndiyo utaratibu ama imekaaje? Tunaomba mtusaidie.
  10. Doto12

    Swali. Je baada ya kuvunjwa bunge, mawaziri wanaendelea?

    Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
  11. R

    Je! Wabunge 19 wasio na chama, wataendelea kuwa wabunge hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
  12. S

    Ni Mbunge gani unatamani arudi bungeni baada ya Bunge kuvunjwa leo?

    BUNGE linavunjwa rasmi leo ni Mbunge gani ungetamani sana arudi Bungeni tena katika Bunge lijalo la Novemba? Mimi ninao wachache 1. Ndugai 2.Simbachawene 3.Mkumbo
  13. SSH2025_2030

    Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

    1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine. 2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio. **Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara...
  14. S

    Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
  15. Mikael Aweda

    Kuahurishwa kuvunjwa kwa bunge 2025, matokeo yake ni yes reforms,yes election. Maswali 5 ya kujiuliza!

    WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa...
  16. Pascal Mayalla

    Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT : Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana na sio kwa mihimili kujinyenyekeza kwa...
  17. Prof_Adventure_guide

    Mahakama na Misuse of Power: Uhalisia wa Kuvunjwa kwa Haki za Kikatiba kwa Kesi ya Tundu Lissu

    Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
  18. Dalton elijah

    Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  19. Doctor Mama Amon

    Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  20. R

    Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
Back
Top Bottom