kuuza duka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CONTROLA

    Kazi ya kuuza duka Kimara

    Ofisi inajihusisha na uuzaji wa GAS ZA KUPIKIA. ENEO ILIPO : KIMARA MAJUKUMU : YOTE YAHUSUYO OFISI HIYO VIGEZO : UWE NA NIDA NA WADHAMINI (2) WENYE MAKAZI YA KUDUMU MUDA WA KUINGIA KAZIN : 12:00 ASBH MUDA WA KUTOKA : 3:50 USKU MSHAHARA : 300,000 SIMU : 0786 _ 025 025 WHATSAPP/CALL/MSG...
  2. S

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  3. IsaacMG

    Mfanyakazi wa kuuza Duka la electronics anahitajika Kahama mjini

    Habari wadau. Nahitaji binti mwenye uzoefu na KAZI ya kuuza VIFAA VYA ELECTRONICS. ENEO LA kazi ni Kahama. Sifa Umri kuanzia 18 _ 30 Ajue kusoma na kuandika Awe na mdhamini mwenye Mali isiyohamishika. Awe mwaminifu. Awe mchangamfu na mwenye kauli nzuri Kwa wateja. Mshahara maelewano Mwenye...
  4. godiusngunda

    Anaitajika mfanyakazi wa kuuza duka la nguo:

    Naitaji mfanyakazi wa kuuza duka la nguo za kike kariakoo. Vigezo:
  5. Meneja Wa Makampuni

    Kijana anatafuta kazi yoyote ile (Za ndani, kuuza duka, shamba boy, kuosha magari, kulima, saidia fundi n.k)

    Habari JF members, Kuna kijana anatafuta kazi yoyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO. Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa. Anaweza kufanya kazi zifuatazo: 1. Za ndani 2. Kuuza duka, 3. Shamba boy, 4. Kuosha...
  6. boufer

    Nina cheti cha ADO, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
  7. boufer

    Nina Ado, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM Asanteni
  8. wamjin

    Natafuta kazi, nina uzoefu wa kuuza duka la nguo na simu

    Habari za muda huu wana jf, Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection please anisaidie.
  9. neggirl

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
  10. O

    Nafasi za kazi ya kuuza duka

    Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika: Waombaji wawe na sifa zifuatazo: 1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23 2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne 3.Wasiwe na familia/kuolewa wasiwe na mtoto/watoto. 4.Wawe na uzoefu wa kuuza duka, na kufanya miamala ya kifedha(uwakala)...
  11. M

    Msichana wa kuuza Duka la Vipodozi anahitajika

    Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi. Vigezo: Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri. Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam. Ambae atakua tayari anicheki PM.
  12. P

    Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

    Sifa za mwombaji 1. Kijana anayejituma 2. Anayejua kuandika na kusoma 3. Mkazi wa kigamboni 4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki 5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika 6. Mwenye kitambulisho cha NIDA TUWASILIANE HAPA KWANZA*
  13. dracular

    Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za muombaji: 1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika 2: Awe na elimu angalau kidato cha nne 3: Awe...
  14. P

    Nafasi ya kazi kuuza duka

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni

    Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni. Elimu yake: Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo. Uzoefu wa kazi: Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni mbalimbali jijini Dar es Salaam. Pia amefanya kazi kwenye maduka ya kuuza nguo, maduka ya kuuza urembo...
  16. the hunterer

    Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa muhimu

    Medical dispenser ama nurse mwenye ADDO anahitajika kuuza duka la dawa maeneo ya Lushoto, Tanga. Inbox kwa maelezo zaidi.
  17. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  18. F

    Nafasi ya kazi kuuza duka la dawa

    Duka liko Dar es salaam eneo la mbezi barabara ya goba. Ni ndani kidogo mtaani sio barabara ya lami. Kutoka lami ni mwendo wa km 1. Masharti ya kazi. 1. Ataishi nyumbani kwa boss wake kwa urahisi wa kufika eneo la kazi au dukani. 2. Awe na utaalamu wa dawa. 3. Mshahara sh 100,000 chakula na...
  19. Tripo9

    Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  20. Emmanuel180

    Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

    Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k Sasa wakati nikiwa pale...
Back
Top Bottom