kuuza duka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

    Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k Sasa wakati nikiwa pale...
  2. stineriga

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta anahitajika Dodoma

    Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika. Majukumu: Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji. Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma Jinsia: awe mwanamke /msichana Umri...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
Back
Top Bottom