kuungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini. Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
  2. Webabu na ritz mbona hamtupatii ripoti ya yemen kuungua huko 🤣 au hadi iwe dhidi ya makafiri.

    Kaokoeni ndugu zenu
  3. R

    Hati ya kiwanja ikipotea au kuungua kuna uwezekano wa kupata nyingine original?

    Habari. Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
  4. Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha Mlandizi to Morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango...
  5. Masoko Kuungua ni Uzembe wa Mamlaka

    Miundombinu ya masoko, na maduka mengi, au maeneo mengi ya biashara haijakaa vizuri, hawajawahi kabisa kufikiria hili, alafu mwisho wa siku wanalaumu Jeshi la Zima moto, na gari zenyewe za kutafuta kwa Tochi. Nchi za wenzetu kuna System wanaitumia hata katika mitaa ya makazi ya watu, wanaita...
  6. Diodes za altenator kuungua

    Habari, Nina changamoto moja,gari yangu aina ya kluger nilikuwa sijaitumia kama wiki mbili,juzi nimeiwasha kutembea kidogo mara pipe ikachomoka ikamwaga maji,ghafla taa ya battery ikawaka kuzima na kuwasha Haiwaki baada ya kuboost taa ya battery imeng'ang'ania. Mafundi kufungua diodes mbili...
  7. Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  8. Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

    Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
  9. Mbona hatujatangaziwa Tume ya Uchunguzi Kuungua kwa Al Moustafa Islamic Foundation Mbezi Beach Makonde?

    Endeleeni kudhani wenye Akili hatujui kwanini mmeuchuna wakati siyo Kawaida yenu Kuuchuna katika Matukio kama hata tena likihusisha Taasisi ya Kiimani. Halafu washaurini kama wataendelea kuwa hapo Makonde Wabadilike na kale 'Katabia Kero Kao' kwa Wanafunzi wa Kiume vinginevyo Moto wa Mwenyezi...
  10. S

    Polisi chunguzeni ukweli kuhusu tukio la watoto watatu wa familia moja kufa kwa kuungua moto Rombo, Kilimanjaro

    Ni taarifa nimeisoma kwa majonzi sana juu watoto watatu wa familia moja, Erick (9), Joshua (7) na Gidion Theodory (2) kufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba na mama yao kudai kwamba waliungua kwa moto uliosababishwa na wao kuchezea kibatari wakati yeye akiongea na simu na mume wake nje ya nyumba...
  11. PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

    PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana. Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'. Hii ni kutafuta umaarufu wa kisiasa...
  12. U

    Kukatika katika kwa umeme mkandarasi wa stigler's anadai bil18 hasara , cc Wananchi nani atatufidia, samaki kuoza, vifaa kuungua

    CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo, kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
  13. Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  14. Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

    Habari wakuu!, Ni muda sasa umepita tangu nipotee katika majukwaa mbalimbali hapa JF. 18 June 1994, Usiku wa manane, wanafunzi katika shule ya wasichana ya Shauritanga wakiwa wamelala, moto mkubwa ulizuka. Mabinti wale walipiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa walinzi hawakufanikiwa hadi...
  15. Kuungua masoko: Kukithiri usimamizi mbaya wa Halmashauri zetu

    Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu. Masoko yanaungua kila leo. Soko Kuu Kariakoo Soko la Karume Soko la Mbagala Soko la Moshi Soko la Geita Soko/Mall ya Mwanza Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu. Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile. Uchafu wa wiki iliyopita bado...
  16. M

    Muendelezo wa Masoko Kuungua ni Sahihi kuwa Bado hatujapata Suluhisho?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko na kasi isiyokawaida ya Kuungua kwa Masoko Nchini hasa Nyakati za Usiku Jambo linalozua Maswali mengi zaidi. Sio kwamba kama Nchi ndio tumeanza kupata kuyaona Majanga haya kwa Mara ya Kwanza hapana, yamekwisha kutokea huko Nyuma lakini mtindo ndio...
  17. Masoko kuungua Moto hiyo ni Mipango tu

    Mambo ya kuungua kwa masoko mara kwa mara Maeneo tofauti tofauti nchini Hiyo yote naona ni Technique ya kutaka kuboreshewa masoko hayo na sio vinginevyo Hili watengenezewe soko la kisasa zaidi
  18. RC Makala, siku saba zimepita tangu soko la Karume kuungua. Majibu hayajatoka?

    Tunaomba kujuzwa. Kamati ya kuchunguza kuungua kwa soko la Karume imekwama wapi? Tunataka kuendelea na biashara zetu hapa Karume. Pia soma > DC Ilala: Siku ya 8 Ripoti ya Uchunguzi wa moto Soko la Karume itasomwa mbele ya Waziri wa Tamisemi, RC DSM na Wamachinga wote, kisha watarejeshwa
  19. Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

    "Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito. Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia...
  20. Kwanini Serikalini inasema haikuchoma soko la Karume huku ripoti ya tume haijatoka?

    Soko la Karume limeungua na Serikali imeunda tume na imetoa siku 14 tume itoe majibu ya uchunguzi wake. Kabla ya tume kutoa majibu tayari tumeanza kusikia Serikali ikikana kuhusika kuchoma moto. Kama haitoshi tumeanza kusikia eti mateja ndio wamechoma moto. Je, kwanini Serikali inasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…