Diodes za altenator kuungua

Financial Freedom

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
1,244
2,290
Habari,

Nina changamoto moja,gari yangu aina ya kluger nilikuwa sijaitumia kama wiki mbili,juzi nimeiwasha kutembea kidogo mara pipe ikachomoka ikamwaga maji,ghafla taa ya battery ikawaka kuzima na kuwasha Haiwaki baada ya kuboost taa ya battery imeng'ang'ania.

Mafundi kufungua diodes mbili zimeungua,badilisha diodes zinaungua tu,sijajua shida ni nin
 
Back
Top Bottom