kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika hotuba yake, Lissu anajadili bajeti ya mkutano wa Baraza Kuu wakati alipewa kazi ya kuchangisha milioni 30, hajatoa hata mia. Mnampaje chama?

    Lissu ameanza kutoa milio. Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie. Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama...
  2. JamiiForums Tanzania Ligi kuu kuendelea kuanzia mwezi wa tatu

    Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN. Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024

    Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria. Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa...
  5. JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  6. JamiiForums Tanzania Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Jubilee Kuu 2025 jijini Dar es Salaam

    29 December 2024 Dar es Salaam Maandamano ya Jubilei Jimbo Kuu jijini Dar es Salaam 2025 https://m.youtube.com/watch?v=hDK2Hmt-zN8 yaliyoanzia kanisa la St Peters lililopo Oysterbay Mbuyuni hadi kanisa kuu la St Joseph eneo la Posta katika ya jiji la Dar es Salaam eneo la Posta. Huko Tabora...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Pamoja na Taasisi ya Dodoma Legends Watembelea Gereza Kuu Isanga Dodoma

    ▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza...
  9. JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu pande kuu nne za dunia

    Nawasalimu wote mliopo humu ndani Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya.. Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini, Kusini, Mashariki, na Magharibi?. bila shaka utaniambia ndio. Sasa katika ulimwengu wa roho hizi pande...
  10. JamiiForums Tanzania Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Karata nzuri iliyobaki kwa Mbowe ni kufanya maridhiano na Lissu, asisubiri aibu kuu siku ya uchaguzi

    Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu. Hiyo kwangu ndo...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga Ya ligi kuu vs Yanga ya kimataifa

    Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni Yanga?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  14. JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa kamati kuu CHADEMA komaeni, mabadiliko si lelemama

    Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi. Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma. Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
  16. JamiiForums Tanzania Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

    Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote...
  17. JamiiForums Tanzania Hii controversial ya Mwanzo wa ulimwengu na Dunia, Je inawezekana ndio siri kuu iliyofichwa na Mungu, Ukitoa Kifo ?

    Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc. Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu. "IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF...
  18. JamiiForums Tanzania Thamani mojawapo kuu ya dini ni tumaini la faraja angalau baada ya maisha mateso ya hapa duniani

    Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu wanapata ajali wanabaki vilema wasiojiweza maisha yao yote, watu wanafungwa maisha au miaka mingi pasipo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  20. JamiiForums Tanzania Coastal Union imevunja mkataba na Ley Matamp aliyekuwa golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

    Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…