kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama tusaidie kuifuta kesi Mahakama Kuu Mbeya ili October, 28, 2025 kwa raha zetu Tunatik!kwa

    Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo – Mtumba, leo Agosti 8, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  4. JamiiForums Tanzania Dhambi 7 kuu

    leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba kupitia hizi ndio zao la madhambi yote unayojua na kuyafahamu hapa duniani Kwa mshangao wa wengi dhambi nyingi unazowaza si kati ya hizo saba.. Hebu tuzipitie moja baada ya nyingine 1...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

    Nawasalimu salaam ! Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa . utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
  6. JamiiForums Tanzania Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu hizi zinazomhusu Lisu, Mahakama Kuu haiaminiki tena, ni Kangaroo Court of the century

    A KANGAROO court is an informal term for a legal proceeding that disregards recognized standards of law or justice, often characterized by unfairness and a predetermined outcome. It implies a biased or illegitimate tribunal where the rights of the accused are not respected, and the proceedings...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba ridhaa mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu UVCCM

    Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba kura kwa ajili ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Ameomba kutuwasilisha bungeni ni sahihi?😂
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

    Ijumaa Kareem! Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake. Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke; 1. Uhuru wa mawasiliano. Mwanamke huwezi kumkojoza kama hujampa Uhuru wa mawasiliano. a) Mwanamke wako lazima umfanye...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole atoswa UWT Tabora, aiangukia Kamati Kuu

    Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
  12. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kamati Kuu inazidi Mahakama ya Rufaa

    Pamoja na Kura za Mchongo za Wajumbe. Kamati Kuu ndio mwamuzi wa Mwisho. Na hakuna kitu mtafanya.
  13. JamiiForums Tanzania Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

    I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania. Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu kuu tatu zinazokwamisha Feisal Salum asiende kuchezea Simba

    Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa zinazokwamisha uhamisho huo. Gharama inayotajwa ya bilioni 2 na ushee siyo pesa nyingi kulinganisha na faida...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
  17. JamiiForums Tanzania PM kwani sio Mjumbe wa Kamati Kuu?

    Mwamba unamuona Serbia mara Abu Dhabi. Huku Dodoma wakichinja syndicate yake bila huruma. Siasa zetu ni shidaa
  18. JamiiForums Tanzania Oliver Semuguruka 'Twiga' akatwa Kamati Kuu

    Twiga katenguliwa miguu na Kamati Kuu. Chezea Siasa za bongo
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

    Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo. Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wapitisheni Wabunge wanaomaliza muda wao ili kuendeleza 4R

    Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R OktobaTUNATIKI Mshana Jr Lucas Mwashambwa Mpwayungu Village
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…