kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa dini zina-limit watu kutumia common sense na kwa maana hiyo wanaunganisha kuhoji sana na kufuru

    I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu. Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee. Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
  2. JamiiForums Tanzania Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

    My people, Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas. Pentagon,Marekani Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii ya refa aliyechezesha mechi ya Morocco na Tanzania imetengezwa kwa kutumia akili unde

    Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa mchezo huo ambao ulisha kwa morocco kuondoka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezo huo wa raundi...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  6. JamiiForums Tanzania Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

    Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying. Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group. Iko hivi. Blood group ziko 4. A au AO B au BO AB (au A na B) O Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group. (Rhesus factor) Kila mtu anabeba...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tunawashauri wateja wetu kununua umeme kupitia vituo vya mawakala wetu wa LUKU nchi nzima

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha Mwanamke kabla ya kupiga mjegeje?

    Hili swali la je ni salama?, ni Afya na je ni sawa kuutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha BI-AISHA ili kumwandaa Mwanamke kumpokea Abdallah kipara wazi?. Jibu langu kwako ni 👇 Ndiyo, nani sahihi na Ki-Afya ni salama kutumia ulimi kama nyenzo ya maandalizi ya awali (foreplay) kuinua hisia za...
  9. JamiiForums Tanzania Madhara ya kutumia sukari nyingi

    ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi? Sukari ni chanzo cha nishati mwilini lakini ikizidi huanza kuleta madhara badala ya faida Sukari hupatikana kwenye juice za viwandani, Biskuti, keki,pipi, vyakula vilivyosindikwa,chai au kahawa yenye sukari nyingi ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  11. JamiiForums Tanzania Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  12. JamiiForums Tanzania Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anataka Kutumia Sekretarieti ya Maadali kujisafisha?

    Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu. Wanataka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi vijana kutumia simu na kompyuta kujisomea kuliko kutumia vitabu?

    Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa. Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa. Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu. Wanagugo ili kupata material wanayotaka. Je, simu na kompyuta zinadumaza akili?
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa teknolojia ya simu kutumia direct kwenye setelite. Je, TCRA mtaweza kuzima kilichopo juu?

    Teknolojia zina shika kasi sana.Kwenye Iphone 17 nimeona mfumo wa setelite ina maana mbeleni kutaweza kuwafanya watu wapate wanachokitaka sehemu yoyote. Huku kwetu tumeona hii tabia ya kuzima internet likuwa jambo la kila uchaguzi unapofika. Je TCRA mumejibangaje kufika angani na mkasi.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kila mtanzania aliyechukizwa wakiamua kutumia njia za mungu,uchawi na laana utapona kweli.

    Huyu kasema ana muachia mungu,mwengine kasema ana muchia shetani,mwengine kaenda kukuvunjia tikiti maji,Tuje kwa walokole sasa hapa lazima kombolero liingie. Tukija TEC naona NOVENA itakwenda na wine kabisa. Haya wale wanaojua kwenda kwa waganga au ndugu zao ni waganga utasalimika kweli.
  18. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za Viongozi, Taasisi za Serikali zinazozuia watu kutumia Uhuru wao wa demokrasia nao wapelekwe ICC

    Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
  19. JamiiForums Tanzania Migahawa midogo ya Tanzania kuna shida, mtu unalazimishwa kutumia kitu usichokitaka

    Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi. Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini tusiache na kukoma kutumia picha ya Rais Samia ?

    Wanabodi, Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane. Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…