kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbinu za kutumia Windows 10 kwa ufanisi zaidi

    Whether you've been using Windows 10 for years or have only recently upgraded, there are plenty of new and old tips, tricks and hidden features to learn that will make using your laptop every day faster and smoother. Learning to be quicker and more productive on your laptop may be especially...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali na TCRA kuurudisha rasmi Mtandao wa Twitter bila kutumia VPN 'Kimya Kimya' bila kutuomba Radhi ni 'Kutudharau' Watanzania

    Hivi ni kwanini wenye Mamlaka wengi nchini Tanzania neno Samahani ( Naomba Radhi ) Kwenu huwa ni Gumu sana huku mkidhani mkisema itakuwa mnajidhalilisha au kuonekana dhaifu? Yaani kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana ( 2020 ) hadi hii Leo Huduma ya Mtandao wa Twitter ilikuwa haipatikani mpaka...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia (WCQ) 2022: Uganda yaomba kutumia Uwanja wa Mkapa kama Uwanja wa nyumbani

    Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022. Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limelijulisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya msaada wanaohitaji wa kutumia Uwanja wa Mkapa kama uwanja...
  4. JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Si dhambi kama kuna hoja ya msingi Serikali kukiri kuwa kwa sasa 'imepigika' kiuchumi kuliko kutumia 'Misiba' kama utetezi kwa Wananchi

    "Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya muungano mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia 'Go Fund Me' nikiwa Tanzania?

    imejiunga na mtandao wa Go Fund Me katika harakati za kujaribu kutafuta fund ya wazo langu la kijamii. Ishu nimekwama nikianza kufanya process ya fundraising nakosa option ya kuweka nchi ya Tanzania. Mliowai tumia go fund ebu nisaidieni.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba kwa kutumia tofali mbichi

    Habarini wadau, Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali hizi ni imara kweli? Kuna utafiti wowote kuunga mkono uimara wa tofali mbichi za MBEYA?
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi kutumia Twitter kutoa matamko wakati raia hatuna access

    Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
  9. X

    JamiiForums Tanzania Ujenzi kutumia Interlocking blocks

    Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania? Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi gani hasa wakati huu ambapo gharama za ujenzi zimepanda?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…