Kwann tunune,
Kwanini tukasirike,
Kwanini tuwe na huzuni.
Wazanzibar tumefurahi
Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara.
Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa.
TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO...