kutoa pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero IQ

    Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

    Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa. Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu, siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...
  2. Suley2019

    Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  3. michibo

    Kwanini benki hutoza wateja ada kwa kutoa pesa zao wenyewe?

    Habari za leo wakuu, Leo tujadili hizi tozo za mabenki [withdrawal charges] kwa wateja ambao kimsingi ndio wamiliki wa fedha hizo. Mteja anatunza pesa yake benki, na benki zinaifanyia biashara [kukopesha] kwa faida. Kisha mmiliki akihitaji kutoa kiasi chochote kwa matumizi yake hutozwa 'ada'...
  4. Kifaru TANZANIAN

    Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

    Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
  5. TheDreamer Thebeliever

    Unaweza kutoa pesa ili kupata ajira? Ni vipi utahakikisha kuwa hautapeliwi?

    Habari wadau! Nakumbuka nilishawai kuitwa sehemu kufanya internship kwa ahadi nikimaliza internship nitapata ajira. Ila baada ya HR kivuli kustukia mchongo likaanza zwenge la kunishinikiza nitoe pesa ili nipewe kazi binafsi sio muumini wa rushwa; nilikataa hapo ukaanza mvutano kati ya head of...
Back
Top Bottom