kutoa msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  2. Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  3. Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  4. N

    Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

    Wema unaoweza kukupeleka JELA 1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni tatizo tayari, unamshushia karibu na kwao mzazi akikuona ni shida, anaweza kudhani wewe ni fataki...
  5. Kwa sasa Makanisa na misikiti inatosha , ikiwa kuna taasisi inahitaji kutoa Msaada wa kujenga Kanisa na Msikiti hiyo pesa wajenge visima vya maji

    Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana . Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana . Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya hizo pesa. Mfano wafadhili ambao hujitolea kujenga misikiti na makanisa , jaribuni kufikiri hilo...
  6. Trump amegundua kiasi cha $50million kilitaka kutumika kutoa msaada wa Condoms huko Gaza.

    Mind you, hamas imekuwa ikitumia kondomu zilizojazwa heliamu kuelekeza mabomu kupitia mpaka wa Israel ili kufanya madhara.
  7. PreGE2025 Mbeya: Tulia Ackson akusanya waandishi wa habari ili kutoa msaada wa tani mbili za chakula kwa wasiojiweza

    Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine. Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
  8. Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  9. Kwanini kutoa msaada ni ibada

    Watu wa dini, wasioamini Mungu, freemasons kupitia charity zao, wote wanaunganishwa katika jambo moja la kutoa msaada kwa watu wenye shida. Kutoa kwa kusukumwa na huruma kwa mwanadamu mwenzako ni ibada kamili iliyokamilika. Hii kazi ilipaswa kufanywa na Mungu mwenyewe aliyemuumba huyo mtu, wewe...
  10. Wataalamu wa ESS njooni mtumbue hili jipu kwa kutoa msaada

    Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu! Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor. Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo...
  11. Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji. Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima. Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani. Chini ya...
  12. Kutoa msaada ni njia mojawapo ya kujionesha ili upate ushawishi wa kumtapeli mpokeaji

    MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa...
  13. Wakili Kambole: Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu wakati wa Maandamano ya amani, hatua za kisheria zitachukiliwa

    ======= "Wakati wa Maandamano ya amani, Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu kwa namna yoyote hatua za kisheria zitachukiliwa dhidi yao! Iwapo waandamanaji watafikishwa kwenye vyombo vya sheria msaada wa kisheria upo kwa ajili yao! Ni bora wakalindwa wafanye maandamano kwa amani!" Wakili...
  14. Natafuta taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu hapa Dar, nataka kutoa msaada

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Dar es Salaam, lengo kubwa kutoa msaada, anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao. Asanteni.
  15. G7 Waahidi kutoa msaada zaidi huku Ukraine wakijiandaa kuanza mashambulizi

    Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea. G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine...
  16. China yaendelea kujitetea haijawahi kuwa na lengo la kutoa msaada wa sila Urusi

    China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi...... Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
  17. Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

    Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha! Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu. Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii...
  18. Serikali ya Tanzania yatoa msaada Uturuki

    Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa Malawi [emoji1156] waliokumbwa na...
  19. F

    Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  20. D

    Je, ni sahihi kuchangisha watu michango kwa ajili ya kutoa msaada?

    Nimekuwa nikiona mara Nyingi watu huandaa matukio ya kuchangia watoto wanaoishi katika mazingira magumu,yatima,Wafungwa ma wagonjwa kisha kushirikisha ndugu au watu wengine kuchangia. Yaani unajikuta tu upo kwenye Kundi la Whatsap na kisha unaombwa kutoa ahadi yako kwa ajili ya tukio Husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…