kutibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    SoC03 Namna majani ya mstafeli au stafeli linavoweza kutibu saratani

    Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo linajulikana kwa ladha yake tamu na nyororo, ambayo inafanya kuwa kiungo maarufu katika vinywaji hususani...
  2. Sindano ya kutibu U.T.I yadaiwa kumletea madhara mwanamke huyu

    Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada ya kuchomwa sindano ya U.T.I katika moja ya duka la madawa (pharmacy) linalopatikana mkoani hapo...
  3. Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
  4. S

    Hakuna dawa inayoua taratibu. Dawa kazi yake kutibu, msidanganywe

    Nafahamu kweli mfano metronidazole inaleta side effect chapu tena inaweza ikaua kabisa ukichanganya na pombe Ila sijasikia dawa eti inaleta side effect taratibu. Kama ipo itaje, taja na side effect yake tujifunze.
  5. Mshtakiwa adai anatibu UKIMWI kwa kutumia Kobe, Ngozi ya Nyati

    Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo la kukutwa na kobe 998, magamba 10 ya kobe, ngozi ya Nyati na mkia wa Nyumbu, vyote vikiwa na thaman ya Sh168 milioni. Mshtakiwa huyo akidai ameoteshwa na...
  6. Msaada jinsi ya kutibu Ovary Cyst

    Habarini za hapa wanajukwaaa Mimi ni mwanamke nnasumbuliwa na vijpu kwenye ovary, nmehangaika karibu miezi sita bila mafanikio Kibaya zaidi limeota lingine upande wa kulia wakat lile lingine nahangaika kulikausha ndo kwanza linazidi Naombeni ushauri niende wapi nmeshahangaika sana hospital na...
  7. KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  8. Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna...
  9. Hii ndio dawa ya Clomiphene inayotumika kutibu uzazi kwa wanawake / Clomifene citrate

    DAWA YA CLOMIPHIENE Dawa hii hufahamika kama ‘Clomiphene Citrate’ Katika fani ya Tiba ya dawa, Clomiphene huwekwa katika kundi la dawa liitwalo ''ANTIESTROGENS AND SELECTIVE ESTROGEN RECEPTOR MODULATORS (SERMs)'' Kwanza kuelewa maana ya ‘ANTIESTROGENS ’ ni nini? Hii ni dawa inayoleta...
  10. Rais Museveni apiga marufuku waganga wa jadi kutibu Ebola

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo. Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
  11. V

    SoC02 Kudhibiti usugu wa dawa za kutibu magonjwa yanayo sababishwa na bakteria na kuvu (Fangasi) Tanzania

    KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA. Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
  12. S

    Msaada wa kupata dawa hii iliyogundulika ya kutibu cancer

    Ndugu wapendwa nawasalim!!!!! Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…