Kama uzi unavyosema hapo juu,
Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira.
Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...