kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
  3. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna muda natamani kuuliza kuwa kwanini Mwigulu anajibu hoja dhaifu (sana) jukwaani ila naogopa naweza kutekwa

    “Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......” Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
  5. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9: Wengine watatoka kwa hasira za kuuawa na kutekwa kwa Ndugu zao. Eeh MUNGU turehemu taifa letu

    Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia. MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
  6. JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Prof. Shivji amekamatwa na mamlaka? Anayefuata ni Prof Tibaijuka baada ya kutoa maoni dhidi ya Serikali

    Narudia kusema, huwa ni hatari sana Watu wajinga kupewa Mamlaka, ni hatari Mnoo !!. Akaunti ya Profesa Shivji ya mtandao wa X imefutwa siku chache baada ya kutoa maoni kuwa mateso yanayotolewa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu. Pia soma > GE2025 - Profesa Shivji: Mateso hasa...
  10. JamiiForums Tanzania JWTZ kama na ninyi mmeanza kukamatwa{kutekwa}, je sisi mlioapa kutulinda tutalindwa na nani dhidi ya watekaji?

    Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile. KWENU JWTZ Kimbilio letu pekee lilikuwa limebaki kwenu ghafla pasipo kutegemea vihepele wa police...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wengi wataenda kufa na kutekwa kadri siku sitakavyoenda

    Serikali hii imeshindwa kabisaa kutibu matatizo ya watu wake na sasa kila anejaribu kuongea anatekwa kama kuku hii ni hatari kwa taifa na mpaka sasa kuna watu wanaenda kumuongezea kimama huyu miaka mingine mitano Niwaambie tu baada ya miaka mitano watu weengi sana watauwawa na kutekwa watu...
  12. JamiiForums Tanzania Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

    Video inayodaiwa kuwa imefanya Niffer akamatwe na Jeshi La Polisi
  13. JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  14. JamiiForums Tanzania Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

    Ilivyokuwa Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee. Reaction ya...
  15. JamiiForums Tanzania Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Polisi watoa neno

    Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Jeshi la Polisi laeleza kuendelea na uchunguzi.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

    Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji.. Sasa machaguo ni mawili; 1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
  17. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kusikiliza ombi la Kibatala kuhusu kutekwa kwa Polepole Oktoba 9

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam imepanga Oktoba 9, 2025 kusikiliza maombi ya Wakili Peter Kibatala juu ya madai ya kutekwa kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole. Wakili Kibatala aliwasilisha maombi hayo chini ya hati ya dharura, Oktoba 7, 2025 akiiomba mahakama itoe amri ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutekwa kwa Hamphrey Polepole, kuna maswali yanakosa majibu kwangu

    Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania hatarini! Kila uchwao ni kutekwa!

    Ni muda wa kujitetea umewadia sasa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…