kutawala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Je dini ya shetani(satanism) inakaribia kutawala dunia?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mlokole lakini niliyebahatika kuisoma dini ya shetani na kuhudhuria ibada zao walau mara moja Dini zinazomwamini Mungu mmoja bado zina nguvu sana, mitandao mikubwa na wafuasi wengi duniani Hivyo basi hakuna ushahidi wa kisayansi, kisiasa, au kijamii...
  2. M

    Nawafundisha wanafunzi ukweli kuwa mamlaka ya kutawala yapo kwa Wananchi kwa mujibu ya Katiba yetu

    Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
  3. Ladder 49

    Bora angeendelea kutawala Malkia tu sasa hivi nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana

    Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
  4. M

    Waafrika nimewakatia tamaa kwenye uongozi na maendeleo ya umma, Bado tuna damu za kutawala kichifu

    Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga, Hapa kwetu siwezi...
  5. The Burning Spear

    Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  6. The Father of All

    Wanaoshabikia uchawa wajue uchawa ni ukosefu wa falsafa ya kutawala

    Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza. Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake, alikuwa na falsafa ya uongozi tofauti na waliomfuata wakatawala bila falsafa. Ili kuongoza, lazima...
  7. Genius Man

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  8. Lord Denning

    JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  9. maganjwa

    CCM inaweza kuendelea kutawala?

    Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani? Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa...
  10. ngara23

    Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki 2. Andy Boyeli Striker...
  11. K

    Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  12. kagoshima

    Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

    Ni miaka yote ila imejidhihirisha sana awamu hii kwamba tegemeo kubwa la ccm kuendelea kutawala ni kukandamiza upinzani. Suruhu ya hilo ni moja , nguvu ya Umma. Umma utakapokua tayari CCM ndipo wataondoka kwa nguvu.
  13. Gabeji

    Short Amoti ameamua kumfuta kabisa mpinzani wake wa urais February. Je ataweza kutawala ?

    The man is very smart, na huyu ndo alikuwa tishio kubwa sana kwa short Amoti, kwa ssb anafiriki kwa kumtoa nje ya ulingo ndo atatawala kumbe amejipalia makaa ya moto usiozimika. Ladba ampe ubalozi huko nje mbali kabisa. "Ukioikoa nafsi Yako ndo umeiangamiza na ukiangamiza umeikoa". Mungu...
  14. R

    Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  15. Kinoamiguu

    Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  16. Mmawia

    Bashiru: Tutatumia sana dola kubaki Madarakani ilimradi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na kwa Maendeleo ya wananchi

    Naomba tumsikilize ndugu Bashiru Ally aliyekuwa kwenye utawala wa hayati Magufuli. Anadai chama chochote kilichopo madarakani ili kiondoke madarakani basi kimependa chenyewe maana kina faida nyingi sana za kukifanya kubakia madarakani. Kwa maana hii basi ccm itatawala milele labda aje kiongozi...
  17. Bueno

    Kuzaa, Kuongezeka, Kutiisha na Kutawala

    Mkuu: Bado hujachelewa TUBU leo TUBU kesho TUBU wiki nzima kisha utaanza kuzaa, utaanza kuongezeka, utaanza kutiisha na utaanza kutawala. Nalala hivi Exsultate, Jubilate!
Back
Top Bottom