kutaka

Kuṭṭaka is an algorithm for finding integer solutions of linear Diophantine equations. A linear Diophantine equation is an equation of the form ax + by = c where x and y are unknown quantities and a, b, and c are known quantities with integer values. The algorithm was originally invented by the Indian astronomer-mathematician Āryabhaṭa (476–550 CE) and is described very briefly in his Āryabhaṭīya. Āryabhaṭa did not give the algorithm the name Kuṭṭaka, and his description of the method was mostly obscure and incomprehensible. It was Bhāskara I (c. 600 – c. 680) who gave a detailed description of the algorithm with several examples from astronomy in his Āryabhatiyabhāṣya, who gave the algorithm the name Kuṭṭaka. In Sanskrit, the word Kuṭṭaka means pulverization (reducing to powder), and it indicates the nature of the algorithm. The algorithm in essence is a process where the coefficients in a given linear Diophantine equation are broken up into smaller numbers to get a linear Diophantine equation with smaller coefficients. In general, it is easy to find integer solutions of linear Diophantine equations with small coefficients. From a solution to the reduced equation, a solution to the original equation can be determined. Many Indian mathematicians after Aryabhaṭa have discussed the Kuṭṭaka method with variations and refinements. The Kuṭṭaka method was considered to be so important that the entire subject of algebra used to be called Kuṭṭaka-ganita or simply Kuṭṭaka. Sometimes the subject of solving linear Diophantine equations is also called Kuṭṭaka.
In literature, there are several other names for the Kuṭṭaka algorithm like Kuṭṭa, Kuṭṭakāra and Kuṭṭikāra. There is also a treatise devoted exclusively to a discussion of Kuṭṭaka. Such specialized treatises are very rare in the mathematical literature of ancient India. The treatise written in Sanskrit is titled Kuṭṭākāra Śirōmaṇi and is authored by one Devaraja.The Kuṭṭaka algorithm has much similarity with and can be considered as a precursor of the modern day extended Euclidean algorithm. The latter algorithm is a procedure for finding integers x and y satisfying the condition ax + by = gcd(a, b).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mabadiliko Je Zitto alikuwa sahihi kutaka kumng'oa Mbowe?

    Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Is it fair kumhukumu mdada kwa kutaka kuwa na bwana mwenye pesa zaidi?

  3. JamiiForums Tanzania Wenye kutaka tshirt za hatuchezi mbele mpambane na hali zenu tuwasiliane nbox

    Kwa wana Yanga tu Kuna tshirt za hatuchezi zinanza kutoka jmosi Na mbele mpambane na hali zenu Tuwasiliane nbox
  4. JamiiForums Tanzania Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutaka mwanaume a'provide kwao ni lazima ila kumheshimu na kumtii mwanaume ni option

    Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji mzuri na sio mzinguaji au mpinzani, kuwa mshirika na sio hasimu, hivi vyote kwao hudhania ni option...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu mojawapo ya kutaka Stellenbosch wafungwe na Simba ni hizi dharau za wasouth

    Asubuhi asubuhi nadondosha uzi. Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika. Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea...
  7. JamiiForums Tanzania Nakumbuka siku Mbowe alipotaka kulitumia kanisa kutaka kuvunja katiba na akashindwa.Sijui itakuwaje kwa Lisu baada kanisa kurudi tena.

    Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani. Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutaka kila mtu akuongelee vizuri ni kutafuta msongo wa mawazo kuwa mwema ila usijali watakavyokuongelea

    KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo. Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee Dalali nakuheshimu sana na acha kabisa kutaka Kuwadanganya wana Simba SC kuwa sijui Yanga SC wanatuhujumu ili tufungwe Keshokutwa na Al Masry

    “Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
  10. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  11. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  12. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Mzee Mbowe na Asali alolambishwa kutaka kumfuta Mh LISSU kwenye Siasa za Upinzani.

    Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣. Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche . Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo . Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
  13. JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Messi

    Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina. Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo miwili huko Catalonia kuanzia mwaka 2000 mpaka msimu wa joto wa 2021, akijiunga na Paris Saint-Germain...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Hizo ndiyo dalili kuu za kutaka rushwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini: Kutopewa risiti ya malipo Kuambiwa sijanywa chai Majalada yana mavumbi Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati Kuahirishwa kesi mara kwa mara Kutopatiwa jalada kwa wakati Kuchelewa kuhudumiwa bila sababu za msingi...
  17. JamiiForums Tanzania Issue ya Fanton iko very sad, kuna wakati kile ulichopaswa kukihofia tu ni ku-maintain mafanikio yako. Sasa hivi unahofia kama wife ataruka kutaka 50%

    Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy. Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake, ongezeko la utamaduni wa kisera sera na influence ya social media. Tulipokuwa wadogo, pale baba...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  19. JamiiForums Tanzania Habarini wadau, je inawezekana kijana ambaye amemaliza form four 2018 na kutaka kusoma diploma nyingine ya upande wa afya mwaka 2025

    Habari zenu humu ndani, Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…