kususia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

    Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
  2. Nigeria kususia mechi ya kufuzu Afcon 2025 nchini Libya

    Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima Timu hiyo ilitarajiwa kutua Jijini Benghazi jana Oktoba 14, 2024 lakini ndege ikabadili ratiba na...
  3. Wachezaji Nigeria watishia kususia mechi baada ya Saa 12 za Kuteseka Uwanja wa Ndege Libya

    Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini. Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
  4. Q

    LGE2024 Sababu za kususia kujiandikisha Daftari la Mpigia Kura

    Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha: 1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko. 2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza mijin vijijin wapo na chama chao cha uhuru. CCM mbele kwa mbele. 3. Wasimamizi wa uchaguzi ni ma CCM...
  5. PreGE2025 Kukimbia kwa Dkt. Nchimbi haikuwa sababu ya vyama vingine kususia mdahalo

    TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU. SWALI Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ? mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama. kitendo cha makatibu wakuu...
  6. Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  7. Kitendo cha vyama pinzani kususia uchaguzi hakina afya katika demokrasia. Suluhu ni mgombea binafsi?

    Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika...
  8. Kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika vibaya, watu wa Dar es salaam kususia maandamo, hakutakuwa na nyomi

    Wakuu Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya...
  9. Rais wa Madagascar kuapishwa licha ya Upinzani kususia Matokeo ya Uchaguzi

    Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya kuwepo kwa Ukiukwaji wa Haki na Uwazi. Rais huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 baada ya Rais...
  10. Pongezi kwa Sheikh Mwaipopo, wananchi wengi walikuelewa na kususia Mkutano wa CHADEMA

    Friends and our enemies, Nichukue nafasi hii kumpongeza Sheikh Mwaipopo kwa uthubutu wake wa kusimama na kuwakemea CHADEMA na baadhi ya maaskofu kwa kile tunachoweza kukiita ni choko choko za kutaka kuliingiza Taifa hili kwenye taharuki na chuki za kidini ikiwa ni pamoja na kuigombanisha...
  11. P

    Ni wakati wa kususia taarifa zote kutoka kwa Waziri wa Nishati January Makamba

    Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema Hoooo! Mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati, hivyo imechoka kabisa, nahitaji mnipe siku kumi zikarabatiwe! Kutoka...
  12. Sababu ya wananchi kususia vikao serikali za mitaa

    Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na wananchi kudaiwa kuisusia. Mbali na wananchi kususia mikutano hiyo katika baadhi ya mitaa na vijiji...
  13. Ushauri kwa mabinti: Usikubali kuamuliwa na mtu, maamzi ya maisha yako yategemee furaha yako

    Nawasalimu nyote wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye maada, Ilikuwa mwaka furani nilipata demu mtaani kwetu aliyekuja kuishi kwa shangazi yake akitokea mkoa fulani hivi, Nilipomtongoza alinisumbua kama wiki mbili hivi kukubali,mwishowe akakubari Mahusiano yetu yalidumu kwa mda wa miezi 8...
  14. N

    Kwa pamoja tunaweza: Ratiba ya mechi za kususia za simba hii hapa,wacheze na majukwaa matupu

    Mmeona wenyewe jana hata baada ya poor display na officialy kugeuka kuwa wateja wa utopolo fc kwenye kupokea medali wengine walivyokuwa wanachekacheka kama NDALAKYUYA Hawana cha kupoteza hao wajinga, jana usiku wamegonga konyagi zao, wamelala na malaya zao huku wengine mnaingia nyumbani kwa...
  15. Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
  16. CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  17. T

    Nyerere aliwagomea TANU kususia uchaguzi ila Mbowe kawashawishi CHADEMA kususia!! Hili laweza kuwa kaburi la CHADEMA

    Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao...
  18. M

    Sasa CHADEMA kwenda mbali zaidi na kuanza kujipanga kususia muhimili mwingine ambao ni Mahakama

    Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho kikubwa cha upinzani huko bungeni ilikuwa kususa na kuweka plasta midomoni. Sera hii ambayo labda...
  19. NCCR Mageuzi yaungana na CHADEMA, ACT Wazalendo kususia mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi. Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…