kususia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    Trumpa na Greenland yake ,viongozi wa Ulaya kususia mashindano ya World cup yatakayofanyika Marekani.

    Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu Hapa...
  2. K

    Naanza kuamini kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi wanajutia sasa

    Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa. Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu...
  3. CHAGOSI GERALD

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi." Sasa...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  5. technically

    Tuanzeni kususia bidhaa za mafisadi

    Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000. Hivyo tuchukue hatua zifuatazo 1: Hakuna kupanda gari ya fisadi 2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi. 3:Hakuna kununua bidhaa ya fisadi. 4:Hakuna kuudhuria show za wasaniii machawa lakini pia tumaweza organize...
  6. Superbug

    GE2025 Kususia Uchaguzi ni Bora kuliko kuandamana hasa kipindi tukiendeacho sababu ni hizi

    1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa. A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana. B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
  7. Raia Fulani

    Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  8. Zacht

    Hispania yatishia kususia Kombe la Dunia la 2026 endapo Israel itaruhusiwa kushiriki kombe hilo

    Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel. Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez, imesema kuwa inaweza kuondoa timu yake ya taifa kutoka kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la 2026...
  9. K

    Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  10. A

    PreGE2025 CHADEMA kama Chama cha Siasa mmefanya kosa kubwa sana kususia Uchaguzi

    Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
  11. DELETED ACCOUNT

    Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby. Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja. Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
  12. A

    PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  13. chiembe

    Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

    Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani? Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
  14. Kibo10

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa? Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
  15. PendoLyimo

    Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi

    Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
  16. Ileje

    PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  17. funaku

    Yanga wana haki ya kususia ligi na kudai fidia iwapo mechi ya derby haitachezwa

    Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani.... Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo.... Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu sakata hili .... Bila shaka Yanga inapaswa kuweka msimamo imara dhidi ya uhuni kwenye soka
  18. Samia atosha tukutane2030

    Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
  19. Chakaza

    LGE2024 Umtakaye kaenguliwa piga Kura ya HAPANA

    CCM wamedhania kuengua wagombea na sasa kujitapa kuwa Wapinzani hawajaweka wagombea wa kutosha kama CCM ndio ujanja. Kutokupiga kura ni kuihalalishia ushindi CCM hivyo njia sahihi ni wapinzani na wale wote wanaojitambua kupiga kura ya kuwakataa ya HAPANA kwa wingi sana hadi wajue pamoja na...
  20. Pascal Mayalla

    LGE2024 Preemptive Move Kuisaidia Chadema Ahead of Press Conference ya Mwenyekiti Mbowe Leo, Chadema Wasifanye Kosa la Kurudia Kosa Kususia Uchaguzi wa SM

    Wanabodi, leo kuna press conference muhimu ya Chadema。 hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema leo,ili kuisaidia Chadema wasifanye kosa la kurudia kosa la kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!。...
Back
Top Bottom