kustaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wapendekeza Umri wa Kustaafu upunguzwe ili Vijana waajiriwe

    Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe. Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
  2. JamiiForums Tanzania Asilimia 28 ya wanaokaribia kustaafu hawana mpango mkakati baada ya kustaafu

    Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi. Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Guti hakuwa anapewa sifa zake wakati anacheza na hata baada ya kustaafu?

    Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti. Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa upandaji vyeo kwenye majeshi ya Wizara ya Mambo ya Ndani utawafanya watumishi walogane kwa kweli. Nimecheka sana

    Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo ya ndani. Washenzi wanajitia kumsaidia uchaguzi JPM lakini akakataa wasipandishwe vyeo na sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  6. JamiiForums Tanzania MAREKANI: LeBron James afikiria kustaafu kucheza kikapu

    Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA. Taarifa zinadai kuwa James amesema anahitaji muda kutafakati kama atarejea uwanjani kuendelea...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni muda sasa wa Ronaldo kustaafu?

    Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila mechi na kuifanya timu yake kuendelea ku-shine pale kileleni kwenye msimamo wa ligi yao. 😂😂Hata...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angemaliza muda wake na Kustaafu akaandika Kitabu haya yasingekosa, pitia uzi huu kwa Umakini

    Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema, Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe . Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
  9. JamiiForums Tanzania Abdelhak Nouri staa wa Ajax aliyelazimika kustaafu soka akiwa na miaka 20

    Mwanzoni mwa mwaka 2017 katika shule ya soka ya Ajax kulikuwa na kipaji maridhawa ambacho mtendaji mkuu wa Ajax ndugu Edwin Van Der Sar alikuwa ana uhakika baada ya miaka miwili mitatu watapata pesa ndefu kutokana na mauzo ya kinda huyo hatari ambaye si mwingine bali ni Abdelhak Nouri. Abdelhak...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Time is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga kufanya harakati zenye Nia ya kumkomboa mwalimu kutoka kwenye ufukara wa kutia aibu. Naomba tuende Sawa...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
  12. JamiiForums Tanzania Mesut Ozil atangaza kustaafu kucheza soka

    Kiungo huyo wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani amechukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 34, timu yake ya mwisho kuitumikia ikiwa ni Istanbul Basaksehir ya Uturuki. Timu nyingine ambazo amewahi kuzichezea ni Schalke 04, Werder Bremen na Fenerbahce. ==============...
  13. JamiiForums Tanzania Mesut Ozil atangaza kustaafu Soka akiwa na miaka 34

    Nyota wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya Taifa Ujerumani, Mesut Özil ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 34. “Nataka kuwashukuru Schalke, Werder, Real Madrid, Arsenal, Fenerbahçe na Basaksehir, marafiki zangu wote katika soka. Ilikuwa ni safari ya ajabu”.-Ozil...
  14. JamiiForums Tanzania Safari ya mwisho ya maisha-Kijijini au Mjini?

    Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI, Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
  15. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Wabunge wapandisha umri wa kustaafu licha ya maandamano ya kupinga

    Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya Pensheni. Muswada huo ulioibua Maandamano na Migomo ya Wananchi takriban Milioni 1.2 wanaopinga mabadiliko...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku watumishi kuendelea na ajira baada ya umri wa kustaafu kilazima

    Serikali ya Kenya imezikumbusha mamlaka zake umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kilazima ni miaka 60 na 65 kwa wenye ulemavu kulingana na kanuni za tume ya utumishi wa umma za mwaka 2017 na tume au mamlaka yoyote ya uteuzi haitakiwi kuongeza muda kwa watumishi hao. Wizara ya utumishi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kikokotoo: Wafanyakazi ambao wamebakiza muda mfupi kustaafu ni kilio kila kona ya nchi

    Ndugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu kitendo hicho wanakilaani kwa maneno ya chini kwa chini bila kujitokeza hadharani. Nimewambia wapeleke...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

    Profesa Ibrahim Hamis Juma anastaafu mwaka huu, 2023. Jaji Mkuu alipata mamlaka hayo kipindi cha awamu ya tano, na kimsingi, ilikuwa ni mahala pa yeye kutenda alichohubiri madarasani kwa maisha yake yote ya kitaaluma kuhusu mgawanyo wa madaraka. Ni wakati wa uongozi wake JPM aliteua Jaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kustaafu na majengo ya kupangisha ukiwa kwenye Ajira/Biashara

    Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha. Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha. Ni kufikia hali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Zaidi ya watu milioni 1 waandamana kupinga nyongeza ya umri wa kustaafu

    Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni. Wakiwa wametiwa moyo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…