kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
  2. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Kampuni ya Serikali ya Korea Kusini ya Yulho wakubaliana kuanzisha chuo cha utafiti

    Watanganyoka tunapigwa na kitu kizito. --- Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining Company" with a local partner. After securing the right to explore local nickel and graphite mines, LOK...
  3. JamiiForums Tanzania Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

    Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini. 1. Ang’ombwize 2. Alatuhiga 3. Atupele 4. Tulalumba 5. Mwadalihe 6. Ambwene 7. Anzawe 8. Chengula 9. Mgaya 10. Mbilinyi 11. Mwaluhanzo 12. Mwamgeni 13. Mwinuka
  4. JamiiForums Tanzania Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Natokea kanda ya kati ila nipo Kusini kwa sasa sioni tofauti kila kitu nachotaka kipo

    Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini. Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

    Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake, Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw...
  10. JamiiForums Tanzania Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  11. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  12. JamiiForums Tanzania Simba yamshusha beki wa kati Abdulrazack Hamza (21) kutoka Supersport Afrika Kusini

    Huyu ni raia wa hapa hapa ndani ila alikuwa anakipiga huko kwa Madiba. Abdulrazack ni mchezaji kijana wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini kwa ubora mkubwa akiwa kwenye kikosi cha kwanza. Abdulrazack ana umri wa miaka 21 bado ana nguvu na muda mrefu wa kucheza soka na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Cleo Wilskut, Binti wa Miaka 20 anayetarajiwa kuwakilisha Vijana Bungeni Afrika Kusini

    Mfahamu CleoWilskut, Binti wa miaka 20 anayeanza Safari ya kuwawakilisha Vijana Bungeni, Afrika Kusini Je, Tanzania inawezaje kuongeza Ushiriki wa Vijana kwenye Masuala ya Uongozi/Demokrasia?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ana Makamu wa Rais watano 5, kulikoni?

    Sudan Kusini ni miongni mwa mataifa changa sana barani Afrika, hususani Afrika Mashariki, iliyopata uhuru wake tarehe 9 July 2011, kutoka Sudan. takwimu za mwaka 2023 zinaonyesha kwamba Sudan Kusini ina jumla ya watu zaidi ya milioni 11. Nchi hiyo yenye utitiri wa mali asili wa kipekee sana, na...
  15. X

    JamiiForums Tanzania China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

    Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa kuona mbali viliweza kunasa tukio hilo na kulirekodi kwenye video. Ni nini ambacho ndege hiyo ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye ANC na DA kuunda Serikali ya Kitaifa Afrika Kusini

    Dalili za Chama Cha ANC kuunda serikali pamoja na DA zimethibitishwa rasmi. Ni pale ambapo kwenye uchaguzi wa Spika wa Bunge la SA DA haikuweka mgombea na hivyo Spika akatoka kwenye Chama Cha ANC akiitwa Thoko Didizo. Pia Chama Cha DA ambacho ndio Chama kikuu Cha upinzani SA kimeshindwa kiti...
  18. JamiiForums Tanzania Q NET imerudi tena kwa kasi sasa inafanya utapeli mikoa ya kusini (Songea, Mtwara ,Njombe, Iringa)

    Nashindwa niandike kwa namna ipi ili ieleweke kwamba hakuna pesa za bure, vijana tufanye kazi hata kama ajira hakuna Ila tufanye kazi tu hizo hizo za windani umachinga . Ipo hivi.. Pwani-mlandizi mtaa wa tanesco kalibu na idara ya maji pale (Mara yangu ya kwanza kufika), QNET wamekodi nyumba...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Israel: Tupo tayari kwa vita kamili na Hezbollah/ Israel yashambulia kusini mwa Hezbollah

    Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo mapema. Hezbollah walifanya shambulizi hilo kujibu kauli ya Netanyahu hapa juzi baada ya Netanyahu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…