kusimamishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni sawa wanafunzi kusimamishwa masomo kwa kutolipa ada?

    Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)? Mfano: Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

    Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
  3. JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa Ole Sabaya, liwe somo kwa wale viongozi wanaopenda kutumia ubabe na kutotii sheria za nchi

    Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi, kwa kipindi kirefu kuwa huyu jamaa, anatumia ubabe, tena kwa kutumia vyombo vya dola...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: CDC na FDA zashauri utoaji chanjo ya Johnson & Johnson kusimamishwa

    Mamlaka za Afya Nchini Marekani zimetoa rai ya kusimamishwa kwa matumizi ya Chanjo ya Virusi vya Corona ya Johnson & Johnson, baada ya ripoti za ugandaji damu. Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) na Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) zimesema zinachunguza visa 6 vya ugandaji damu kwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Stieglers Gorge Hydroelectric Project

    Inasemakana kuwa huu mradi ulisimamishwa kulikoni?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…