kusimama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  2. JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kusimama moja kwa moja

    Niaje wajuba! Kuna jamaa yangu hapa uume / warhead yake imesimama moja kwa moja Leo ni siku ya tano anashindwa afanyaje, Mkasa upo hivi alikula demu wa jamaa lwa kumhonga Hela tangu siku hiyo haijalala, uzuri kinachomsaidia ni kwamba jamaa ana kibamier, Mpeni ushauri mwanetu
  5. JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  6. JamiiForums Tanzania Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle. Gwajima is too heavy compared to Maza.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

    Wakuu Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na kikao hicho ni pamoja na 1. Hali ya Kisiasa Nchini 2. Operesheni ya 'No Reform No Election' (Bila...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke hupaswi kusimama Madhabahuni umchafu wewe

    Ukitaka kujua mwili wa mwanamke una mambo yasiyo ya kawaida mwambie mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake achume mboga kama vile tembele, majani ya maboga au achume pilipili iliyoko shamanic. Vyote na vingine sijavitaja hapa VITAKAUKA. Hatuelewi kuna uhusiano gani kisayansi na hali aliyonayo...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali na TFF kusimama na Simba kipindi hiki.

    Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama Taifa,tunahitaji kuona serikali ikisimama na Simba kupigania maslahi ya Simba.Tarehe...
  11. JamiiForums Tanzania Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
  12. JamiiForums Tanzania TRC na TANESCO kuweni makini na SGR, iko siku itagoma kusimama

    Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine utasikia umeme umekatika, kuweni makini ipo siku hii train itakataa kusimama, sijui kitakachotokea hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

    Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tunamhitaji Mbowe, Zitto, Lipumba na wapinzani wengine wote kusimama imara kwa umoja kuna mambo hayaendi sawa nchi hii

    Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na rasilimali zetu. Huu ndio wakati muafaka sana kwa viongozi wa upinzani kuungana na kuwa sauti moja...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

    Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao. Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Mitaa 59 Ilala kusimama bila Wapinzani

    Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe. Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Unajijua hujiwezi kusimama pambana upate siti kwenye daladala, kupishwa ukae si lazima

    Hello... Jijini hapa mihangiko mingi. Wengine wamwaga zege.. Jioni mtu yuko hoi. Anaamka usiku anarudi usiku muda hautoshi. Huo muda wa kwenye daladala wakati wa kusafiri. Ndio muda wengine wakamaria wanahangaika wanageuka na gari kwa ghalama ya ziada ili wapate muda watengeneze mikeka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…