kusikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushawahi kusikia kitu kiitwacho Trojan Horse?

    Huyu alikuwa farasi mkubwa wa mbao wa kutengenezwa. Alitengenezwa na jeshi la Ugiriki. By then kulikuwa na vita baina ya Wagiriki na Troy. So baada ya kupigana sana, mwisho wa siku Wagiriki wakatengeneza huyu farasi wa mbao. Wakampeleka mpaka nje ya mji wa Troy halafu wao wakasepa. Sasa watu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar tu:- Je umeshawahi kusikia au kuhudhuria msiba wa Mmasai hapo mtaani kwenu?

    Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini. Hakika...
  3. JamiiForums Tanzania Salamu za Askofu Bagonza kwa Makalla na Wenzake, Sisi Tumeshazipokea. Mwenye Kusikia na Asikie.

    Salamu za Kwaresima toka kwa Baba Askofu Bagonza (PhD). DHAMIRI SAFI, DIRA YA TAIFA Tuongozwe na Katiba? Tuongozwe na Mtu? Tuongozwe na Dhamiri? Tuongozwe na Chama? Tuongozwe na Vyombo? Niliwahi kukumbusha: Kule kwa jirani, “Hawa walipaza sauti, Wale wakanyamaza. Lakini sasa, kila mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Ningependa kusikia kauli ya Mwenyekiti mpya kuhusu kijana wetu Soka na wenzake moyo wangu umejawa hofu juu yake

    Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama. Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Lissu endelea kamatia hapo hapo nimeanza kusikia makelele yao ni wazi sasa sindano zinaingia na wapenda mabadiliko wote tumwongezee mwenyekiti nguvu

    Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
  6. JamiiForums Tanzania Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi. RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jahazi linapoelekea kuzama Mbowe na CCM waja na mkakati mpya. Tuona na kusikia mengi!

    Kwamba? Ila mdahalo wameukimbia? Kwani mahuku-taabu lini waliwahi kumpenda au kumtakia jema? Ukweli mchungu: "kunguru hategwi au kushawishiwa kwa maharage makavu!"
  9. JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  10. JamiiForums Tanzania Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=. Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
  11. JamiiForums Tanzania Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  12. JamiiForums Tanzania Ama kweli kusikia kwa kenge mpk atoke damu puani!.

    Tumekamata mwizi tukaanza kukung'unta, piga mwizi mpaka akapandisha mapepo!. tukajua anatania tukaendelea kupiga tu! wacha mapepo ya mwizi yacharuke zaidi!, yakagoma hayasikii chochote ukirusha jiwe linadakwa linarudishwa!. mshale unakwepwa tukaona hii ishakuwa serious mapepo yakawa yanaongea...
  13. JamiiForums Tanzania Wazee Moshi Hawataki kabisa kusikia chochote juu ya Mbowe

    Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !! Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi...
  14. JamiiForums Tanzania Natamani kusikia Rais Samia akisema kitu, maana yanayoendelea nchini yanatisha

    Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na kumtaka dereva ashuke wanamhitaji. Dereva wa BMW amegoma kushuka na kuamua kufunga vioo na milango...
  15. JamiiForums Tanzania Je umewai kusikia Sauti (Mlio) wa Twiga?

    Wengi wetu hatuna ufahamu kuhusu kama Twiga anatoa Sauti au lah na hii ni kutokana na kuwa Twiga ni mnyama anayejulikana kwa kuwa kimya sana, lakini anaweza kutoa sauti chache zisizojulikana sana kwa wengi. Kwa ujumla, twiga huwasiliana kwa kutumia sauti za chini sana (infrasound) ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu ndio naona na kusikia! Kampeni za CCM hazina Mvuto

    Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake. Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi. Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana. CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke. Au komba kakosa...
  17. JamiiForums Tanzania Abby Chams: Sijawahi kula miguu ya kuku wala firigisi, wala sijawahi kusikia sehemu inaitwa Mburahati

    Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui. Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia. NB Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda mechi zake zijazo ikiwamo ya kimataifa, turarajie kusikia nini kutoka kwao?

    Binafsi najua hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi kwenye mechi za ligi pamoja na ile ya Club Bingwa dhidi ya Al hilal ya Sudan. Swali: Kwakuwa hawa mabwana huwa hawakosi sababu, safari hii tutarajie kusikia nini kutoka kwao? Je, wataendelea kusema GSM ananunua marefa? GSM ananunua...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

    Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV. Mvutano unaongezeka huku...
  20. JamiiForums Tanzania Ukristo una miaka mingi ila ushawahi kusikia nchi inaitwa "The christian Republic of so and so"?

    Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating. Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu. Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…