Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu.
Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani...
Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa!
Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa!
Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA.
Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA.
Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam.
Baada ya...
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano wa kiafya na usafirishaji baina ya nchi hizo mbili.
Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 02, 2025 jijini...
Salaam!
Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea.
1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee?
2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi.
Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
ado november
chadema
kanuni za maadili
kanuni za maadili ya uchaguzi
kuelekea 2025
kushirikikushiriki uchaguzi
kushiriki uchaguzi 2025
uchaguzi
uchaguzi 2025
wakili
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo...
1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani.
Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi.
hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko...
Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki.
Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki?
Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi
Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...