kushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

    Wadau za Jioni. Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba Makolokolo FC. Barbara Gonzalenz amekuwa hatulii kabisa siku hizi. Kila wiki ninakutana nae pale Julius...
  2. JamiiForums Tanzania Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  3. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

    Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo. Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo 1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho? 2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…