kushiriki uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. POTOSHI Askofu Gwajima amesema yupo tayari kushiriki Uchaguzi

  2. GE2025 Kwenda kushiriki uchaguzi wakati kuna watu wametekwa na hawajulikani walipo ni kukosa utu, Ni kukosa uzalendo na kukataa misingi ya haki

    Unadiriki vipi kutoka kwenda kupiga kura wakati huo kiongozi wa chama cha upinzani yupo jela akituhumiwa kwa kesi ya uongo ambayo hatma yake ni kunyongwa? Unathubutuje kutoka kupiga kura huku kuna machozi na vilio vya watu kila kona ya nchi ambao ndugu zao wamepotezwa? unaendaje kushiriki...
  3. L

    Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  4. GE2025 Gerson Msigwa: Watanzania wangekuwa hawataki kushiriki Uchaguzi 2025 wasingejitokeza kwenye kampeni

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025; Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi? Siamini kama Wananchi...
  5. GE2025 Mgombea urais NCCR-Mageuzi asisitiza 'Asiyetaka kushiriki uchaguzi ni sawa na kuikataa Katiba'

    Mgombea urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi ameweka wazi msimamo wake kuhusu umuhimu wa wananchi kushiriki katika chaguzi nchini, akisisitiza kuwa ushiriki katika uchaguzi ni haki ya kikatiba na njia pekee ya kuchochea maendeleo ya taifa. Akiwasilisha mojawapo ya sera zake, mgombea huyo amesema...
  6. SI KWELI Zitto: CHADEMA hawataki wenyewe kushiriki uchaguzi basi waache chokochoko

    Wakuu Ni kweli kauli hii imetolewa Zitto Kabwe "CHADEMA hawataki wenyewe kushiriki uchaguzi basi waache chokochoko"
  7. SI KWELI Askofu Gwajima amesema leo Septemba 27, 2025 atatoa ushauri watanzania kushiriki uchaguzi Oktoba 29

  8. R

    GE2025 Mawakala wa Mabasi Dodoma wajidhatiti Kushiriki Uchaguzi

    Mawakala wa Mabasi Kituo Kikuu cha Mabasi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa ujenzi wa Kituo hicho, wakikitaja kama Mkombozi wa Vijana wengi Mkoani humo ambao wamekuwa wakijishughulisha na shughuli mbalimbali Kituoni hapo ikiwemo ujasiriamali na biashara ndogondogo...
  9. Malawi: Wafungwa wagoma kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Wafungwa wa gereza moja nchini Malawi wamewagomea maafisa wa tume ya uchaguzi baada ya kutoridhishwa sababu za wao kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Tukio hili limetokea wakati viongozi wa tume walipowatembelea na kuwajulisha jinsi watakavyoshiriki uchaguzi wa rais tu, wakiwajibu maafisa hao...
  10. L

    Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  11. PreGE2025 POTOSHI Kanisa la katoliki lasisitiza watanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Hii ni kweli, kanisa la katoliki lawasisitiza watanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2025?
  12. SI KWELI PreGE2025 Mwabukusi: Watanzania wana wajibu wa kidemokrasia wa kushiriki uchaguzi

    Naombeni kujua hii una ukweli wowote?
  13. GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  14. R

    GE2025 Hatma ya Watanzania wanaoishi diaspora kushiriki uchaguzi mkuu 2025 bado haieleweki

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 2025 unakaribia kwa kasi, lakini bado Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanaendelea kutengwa na mchakato wa kidemokrasia. Pamoja na miaka ya mijadala na ahadi kutoka kwa viongozi wa kisiasa kuhusu mageuzi ya uchaguzi, hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa kuwezesha...
  15. Katiba Ilidhamiria Watu Wawe Huru Kushiriki Uchaguzi kwa Uhuru wa Kuchagua Viongozi Wanaowataka na Uhuru wa Kugombea,Uhuru Huo Haupo!ni Dhambi Kubwa!

    Wanabodi Na leo ni kama jana mwendo wa Harusi ya Kana,nimekutana na kichupa kidogo kinaitwa Imagi!,hii kitu ni noma!nimezamisha kamoja tuu!kamenituma nishuke JF,natiririka tuu。。。 Mada ya leo ni kuhusu Katiba Ilidhamiria nini kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa。 Katiba ilidhamiria watu wawe...
  16. SI KWELI PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa akiri kupokea barua ya CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  17. I

    GE2025 Wapiga kura milioni 37 kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi. Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
  18. GE2025 Dk. Mussa Ally Apongeza Uamuzi wa Serikali Kuwaruhusu Wafungwa Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Kivule, Wilaya ya Ilala, Dk. Mussa Ally ameipongeza serikali kwa kuwaruhusu wafungwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kwa mara ya kwanza. Akizungumza na Daily News Digital, Dk. Mussa amesema hatua hiyo ni miongoni mwa maboresho makubwa kuelekea...
  19. R

    GE2025 Vikundi vinavyozuka kumsapoti mgombea fulani na kutoa zawadi kwa wananchi haihesabiki kama rushwa?

    Wakuu ====== Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu, kunashuhudiwa ongezeko kubwa la vikundi vinavyozuka na kujitambulisha kama "wafuasi wa mgombea fulani". kwa mfano Vinyozi wa mama,Samia for us, wachekeshaji wa mama,Mbunge Cup, Diwani Cup na vingine vingi, vinaibuka ghafla mitaani na...
  20. PreGE2025 POTOSHI Gwajima ametoa wito kwa wananchi wote kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani, utulivu na mshikamano

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…