kushindana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kushindana kwa hoja katika kuidai au kuipinga Katiba Mpya

    Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani. Ni muhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Aina za Uwekezaji wa Watanzania wengi hautupi nafasi kushindana huko Duniani

    Uwekezaji unao fanywa na asilimia kubwa ya sisi Watanzania haitupi kuweza kushindana huko Duniani na mataifa mengine. Tumekuwa na aina za uwekezaji ambazo sana ni kwa ajili ya Familia zetu na sio za kututambulisha Duniani au kusaidia nchi. Chukulia mfano Mji kama Kahama, Ule ni mji una Mgodi...
  3. JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa kila Mwanadamu anayo nafasi ya kwanza? Acha kuigiza na kushindana

    Watu wengi leo tunaumia sana kwa sababu tunapingana na asili yetu "upekee" tulioumbiwa na Mungu.Hayupo Mwanadamu ambaye hana upekee wake unaoweza kumuweka katika nafasi ya kwanza kwa sababu hayupo mwingine mwenye nao. Inamgharimu Mwanadamu nguvu nyingi mno kufanya jambo kama mtu mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…