kushika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njia pekee itakayokuwezesha kushika bilion 3 ukiwa mzee

  2. Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Naenda moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa. Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine. Mzazi mwenzangu...
  3. Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  4. Kinachoendelea Chadema hivi sasa Lowasa alishawahi kukizungumzia

    "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
  5. Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

    Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu. Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni. Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other) kwa sababu ya nguvu ya...
  6. J

    Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  7. Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
  8. Z

    Kuna sababu ya kuangalia makabila yanayostahili kushika u-rais

    Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila. Tujadili bila...
  9. H

    NETO wanaweza kuwa Chama cha Upinzani kizuri na kushika dola kuliko vilicyopo!!

    Habarini, Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda...
  10. Naomba kujua siku za kushika mimba

    Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku ngapi na siku zangu za hatari ni tarehe ngapi na tarehe ngapi nahitaji kupata mtoto.ikimpendeza...
  11. Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  12. Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2 Baada...
  13. Baada ya kutumia P-2 sasa anashindwa kubeba ujauzito, je afanye nini aweze kukaa sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2...
  14. PreGE2025 Kwa Kuwa CHADEMA haioneshI dalili ya kushika dola leo wala kesho, nafasi ndani ya chama ndo zimekuwa dili

    Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
  15. Q

    Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
  16. CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

    Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
  17. Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

    Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu...
  18. PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  19. G

    Obama kagoma kustaafu ale pension anataka kushika remote na kupitisha marais wake wa Democrats, Biden kamtia adabu !

    Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker, Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !! Ikawaje Harris Mwanamke aligombea ? Team Obama walianza mipango ya kumlazimisha Biden atangaze hagombei Urais tangu...
  20. G

    Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…