Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika
Juzi wazee nilishikwa kwelikweli, maisha magumu sana Dira haioneshi wapi ni kaskazini. Basi nikajikoki kutafuta watu wazima kidogo...