kushambuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Driz de Mafwele

    CCM yafurahi Iran kushambuliwa.

    Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
  2. K

    Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

    Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea. Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa. Maana hata...
  3. Abdul Said Naumanga

    TLS: “Wakili Joseph Masanja Aliuawa kwa Kushambuliwa na Askari Magereza Katika Bwalo la Magereza Babati”

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara. PIA...
  4. Echolima1

    Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

    Idhaa ya Al Arabiya inaripoti: Israel itaishambulia Iran ndani ya saa 7 iwapo mazungumzo kati ya Iran na Marekani yatashindwa.
  5. Stuxnet

    Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  6. Roving Journalist

    Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  7. Just Pray

    Chalamila: Hata Donald Trump aliwahi kushambuliwa kwa risasi, wanaotoa mashambulio huwa hawabagui

    Kama ingelikuwa ni kuweka wazi hisia za watu, if am asked to put clear all the sentiments ambazo zipo katika vinywa vya watu, yafuatayo ningeweza pia kuyasema, la kwanza, Mnakumbuka Rais wa sasa wa serikali ya Marekani, President Trump akiwa kwenye mlolongo wa kampeni zake aliwahi pia kupata...
  8. Just Pray

    Ubalozi wa Marekani walaani Padri Kitima kushambuliwa, walaani vitendo vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu

    TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  9. Roving Journalist

    Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  10. Braza Kede

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  11. Keynez

    Sipendezwi na mbinu zinazotumika kuchochea hali ya wasiwasi kwa Tundu Lissu

    Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
  12. Webabu

    Marekani yarudisha mapigo baada ya meli yake kushambuliwa

    Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni...
  13. Mindyou

    Kamanda Muliro akemea kushambuliwa kwa watumishi wa TRA waliodhaniwa kuwa watekaji

    Wakuu, Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema: "Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa...
  14. Roving Journalist

    LGE2024 ACT Wazalendo yatoa tamko kuhusu Erick Yugalila Venance kushambuliwa

    Hali ya upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji leo tarehe 27, Novemba 2024 mpaka muda huu wa saa 8 kamili mchana. TUKIO LA SHAMBULIZI Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuujulisha umma kuhusu tukio la kusikitisha lililotokea ambapo Katibu wa Jimbo la Igunga Ndugu...
  15. Allen Kilewella

    Kuuawa, kutekwa, kupotea na kushambuliwa kwa viongozi wa CHADEMA, kunaashiria nini?

    Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki. Lakini pia CHADEMA...
  16. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Kada wa CHADEMA - Tunduma adaiwa kushambuliwa na kuuawa na Green Guard

    Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green Guard. Amendika kupitia mtandao wa X "tumepata msiba mkubwa Kamanda wetu Stivu Chalamila ameuwawa...
  17. Allen Kilewella

    Kwanini Wasiria wanashangilia kushambuliwa kwa Hezbollah?

    Kuna baadhi ya vyombo vya habari vinaonesha baadhi ya wasiria wakishangilia kushambuliwa kwa Hezbollah. Nilidhani kwa kuwa ni waarabu wenzao labda wangesikitika badala yake wanashangilia. Nini kinaendelea kati ya wasiria na Hezbollah?
  18. Webabu

    Meli za kivita za Marekani na miji ya Israel kuendelea kushambuliwa Mashariki ya Kati ni ujumbe mzito wa mustakbali wa usalama wa dunia

    Huku eneo la Gaza likiwa limezingirwa na Israel na viongozi kadhaa wa Hizbullah na Hamas kuuliwa inatoa ishara ya ushindi kwa Israel. Hata hivyo kushambuliwa kwa meli za kivita za Marekani na kushambuliwa kwa miji mikubwa yote ya Israel hakutoi ishara nzuri kwa usalama wa mataifa hayo na...
  19. Idugunde

    Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

    SUGU YUPO MAHUTUTI HOSPITALI, DAR ES SALAAM. 1.Sugu anaongea kwa taabu sana na Sauti ya chini sana, kutoka Hospitali binafsi aliyopelekwa leo asubuhi. 2.Sugu alivamiwa na kupigwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadhi binafsi siyo kwa kutuma askari wa chini, Kuanzia nje ya ofisi za...
  20. U

    Jeshi la Israel lapiga marufuku marubani wake kusafiri nje ya nchi, yahofia kipigo kutokea Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa kikosi cha Anga Meja Jenerali Tomer Bar, Taarifa kamili hapo chini: === Amid...
Back
Top Bottom