kusema ukweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  2. Kazanazo

    Ila kusema ukweli wavutaji bangi mnatupanga sana

    Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati...
  3. K

    Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
  4. H

    Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  5. JamiiCheck

    Ernest Sungura: Ulinzi wa kweli wa mwandishi wa habari ni kusema ukweli

    Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari, maafisa wa idara na mamlaka za serikali, unakumbusha jukumu la waandishi wa habari katika kusimamia...
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    Nampenda Haki, Uhuru, Usawa na Uzalendo kusema ukweli ni mabinti wazuri. Nimewaza nimchague nani kati yao, Wazazi wanasema ninaweza kuoa wote

    Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
  7. Sifi Leo

    Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  8. Sifi Leo

    Kusema ukweli zomea zomea Yao imechangia kumuua. MLIO karibu na Dr Kigwangala na wengine mpeni Maji ya kunywa

    Kusema ukweli huyu aliishatabiliwa kuuwa kwa sumu, na ikishindikanika akizomewa presha itapanda na atakufa. Je angetangaza kutogombea angezomewa na nani? Msomaji, utasema walio mzomea ndio walio mpigia kura jibu ni hapana ukitaka ukweli karudie kuhesabi kura uone ukweli KIMSINGI hakushinda ila...
  9. M

    CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  10. Pascal Mayalla

    Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!

    Wanabodi, Huu ni ushauri wa Bure kwa Balozi Humprey Polepole. Tukubali tukatae, kitendo alichokifanya Balozi Humprey Polepole, kujiuzulu nyadhifa yenye hadhi kubwa kama ya ubalozi, ni kitendo cha kishujaa, hivyo Balozi Polepole ni shujaa mzalendo wa kweli kama Mwalimu Nyerere. Sii wengi wanajua...
  11. D

    Kusema Ukweli Tendo la kutoa haja kubwa ni la aibu sana; ila ni kwa vile tu linafanywa na wote basi tunajifarijimo!!!

    Hebu fikiria kama ingekuwa ni Lord Denning peke'ake anayetoa haja kubwa Hali ingekuaje? Asingeweza hata kuanzisha mada kwa jinsi angetaniwa na kuchekwa.
  12. K

    Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  13. Mganguzi

    Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Selemani Bungara (Bwege): tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana

    Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno
  15. GRAMAA

    Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  16. JamiiCheck

    Umewahi kukosana na ndugu au rafiki kisa umesema ukweli?

    Mdau, umewahi kuingia kwenye mgogoro au hata kupoteza ukaribu na rafiki au ndugu sababu ya kusema Ukweli? Ilikuwaje hadi mkafikia hatua hii?
Back
Top Bottom