kusajili kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  2. L

    JamiiForums Tanzania "Ukimaliza Tuu Kusajili Kampuni You're all Set" Hii ni common misconception ambayo watu wengi waliosajili Kampuni wanayo...

    Mjasiriamali, Kuna compliances 19 ambazo ni lazima uzifanye through out the year ili Kampuni yako ibaki salama. Nilikua natafuta njia ya kuziandika zote hapa nimegundua itakua ni long boring series. Kwahiyo nimeamua kuifanya series, kila siku nitakua naandika kuhusu compliance Moja kwanzia...
  3. Vien

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Serikali ilinde majina ya taifa: Si kila mtu aruhusiwe kusajili kampuni kwa majina ya Kilimanjaro, Serengeti, Simba na mengineyo

    Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua. Leo hii unaweza kupita barabarani ukakuta Kilimanjaro Company Ltd, Serengeti Traders, Simba Enterprises, Safari Logistics, Ngorongoro Supplies na majina mengine mengi yenye uzito mkubwa kwa taifa. Kwangu, hili si suala la kawaida. Naona...
  4. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Updated in 2026: Jinsi ya kusajili kampuni, nyaraka zinazotakiwa, gharama za usajili, vigezo na mambo ya kuzingatia kabla na baada ya kusajili kampuni

    Elimu ya sheria kuhusu usajili wa Makampuni nchini Tanzania. (Procedures for the registration of companies, costs for registration and things to take into account before and after registration of a company in Tanzania). Mwandishi: ZECHARIAH WAKILI MSOMI (MWANASHERIA) (0612275246 📞)...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia jina la biashara yako na nikakushtaki mahakamani

    Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Hizi Documents Sita (6) ili Kusajili Kampuni yako TRA

    Habari mjasiriamali, Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA. 1. Copy ya TIN certificates za directors Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors...
  7. buffalo44

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Ukitaka Kusajili Kampuni ya Ujenzi (Construction)

    Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo; 1/5 Company Registration Hapa utafuata taratibu zote za brela kama kuandaa documents, kufanya application na kulipia fee, baada ya usajili wa...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unajua nini maana ya Alama (Nembo) ya Biashara na Huduma?

    Jinsi ya kusajili Alama yako ya Biashara au Huduma Usajili unafanyika kupitia mfumo rasmi wa BRELA (ORS). Kwa Watanzania, unahitaji NIDA, barua pepe na namba ya simu. Makampuni yanapaswa kutumia NIDA ya mfanyakazi mmoja. Wageni wanapaswa kutumia mawakala waliopo Tanzania. 👉 Vigezo muhimu vya...
  10. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni Single member company ?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder? Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mahitaji muhimu unapotaka kusajili kampuni yako

    Vitu Vinavyohitajika Kumiliki Kampuni 1. Jina la Kampuni Kuchagua jina sahihi la kampuni ni hatua ya kwanza muhimu. Jina lako linapaswa kuwa huru kufanya biashara nyingi tofauti chini yake bila kujifunga kwenye sekta moja. Unapochagua jina lisilopendelea biashara fulani, kama ABC Company Limited...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ya muhimu unayotakiwa kua nayo wakati wa kusajili kampuni

    Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo. 1. Namba ya NIDA Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya...
  13. klinbritetz

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni kuingia kwenye shida baada ya kusajili?

    Habari Mwana JF, Kwa uzoefu wa kutosha, miaka mingi, katika tathnia ya ushauri na biashara, nimebaini kwamba kampuni nyingi zimeingia kwenye shida na matatizo makubwa mnoooo, baada tu ya kusajili. Nime gawa makundi ya watu(kampuni na matattizo yake) KUNDI NO. 1 KAMPUNI ZILISAJILIWA NA...
Back
Top Bottom