Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
Wakuu nisaidieni, nina tatizo la kusahau haraka haraka vitu ninavyovisoma. Vile ninavyovisikia na kuviona huwa sivisahau.
Yaani nikishamaliza kusoma sentensi huwa nasahau hapo hapo. Hadi nirudie kusoma mara mbili hadi mara tatu ndo ninaweza kumbuka/kukariri.
Naona tatizo hili linazidi kuwa...
GT.
Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele.
Tusipokuwa makini mtachezewa hapa propaganda za kipumbavu mara paaa 2030 hii hapa hakuna lolote la maana lililofanyika.
Tuna...
Kamwe hatuwezi kusahau maumivu tuliyopata terehe 29 wakati wa uchaguzi.maumivu ya kuuawa ndugu zetu kinyama na waTanzania wenzetu wachache ambao ni watawala...
Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani,
sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua
uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote!
Waafrika tunaroho mbaya sana,
waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu
Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi.
Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo.
Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebius Kyando, ametoa wito kwa Watanzania kurejea katika msingi wa kuthamini utu wa binadamu kama nguzo muhimu ya ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla.
Akizungumza kwenye mahafali ya 25 ya Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa (LUHET) yaliyofanyika...
Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia.
Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika?
Wakuu...
Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga.
Kwa mema yote na kwa mabaya yote akumbukwe.
Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine.
Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa.
In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata...
Hizi ni Nukuu za Nyerere
"Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.”
” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
Laying this infrastructure was a crucial step.
My first encounter with Demi
Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook...
Kuwa crushed na kupewa rules and regs..
Mshana Jr na Uzi wake wa meditation...
Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa
Uzi wa Naomba kuongea na...
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni.
Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare.
Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu.
Kuna siku utahitaji kazi...
Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo.
Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.