Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho
Urejesho ni nini
Urejesho ni kitendo au mchakato wa kurudisha kitu katika hali yake ya kwanza kwa kufanyia ukarabati au kwa kukisafisha. Ni kitendo cha kurudishia, kufanya upya, kufufua au kuimarisha. Kitabu cha Yeremia 30:17 kinasema: “Maana nitakurudishia...