Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
MAKUMBUSHO YAWAKA BAADA YA MUHARAMI CHUMA KUTANGAZWA MSHINDI – WAJUMBE WAPINGA, WATAKA UCHAGUZI URUDIWE
Hali ya sintofahamu Iliibuka katika Kata ya Makumbusho, Wilaya ya Kinondoni, baada ya kutangazwa kwa Muharami Rajabu Chuma kuwa mshindi wa kura za maoni za udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Leo tarehe 04 Agosti 2025 nchi nzima imeshuhudia zoezi la kura za uteuzi wa wagombea nafasi za Udiwani na Ubunge kuelekea uchaguzi mkuu hapo Oktoba 29.
CCM ilianza kuvunja Katiba ya Nchi baada ya kumteua Samia Suluhu kuwa mgombea pekee wa Urais hapo January ambapo kwa mujibu wa Ibara ya 38 ya...
Mbunge anayetetea kiti chake katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amepata ushindi wa kishindo katika kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe hii leo Jimboni hapo kwa kupata kura 9030 ambazo ni sawa na asilimia 91.
Katika ushindi huo, MwanaFA ameongoza na...
Mgore Miraji ameibuka mshindi kwenye kura za maoni baada ya kuwabwaga wapinzani wake watano aliokuwa akishindana nao katika mchakato wa kumpata mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu ujao katika Jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara.
Endapo Mgore atapitishwa na kamati Kuu ya...
My Take
Hakuna haja ya viti Maalumu maana wanawake wenye uwezo wapo
================
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi Jimbo la Musoma Mjini wamemchagua kwa kishindo Mgore Miraji Kigera kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mgore alipata kura 2,255...
Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini
Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
Wajumbe wa Kata za Bonyokwa na Kinyerezi zilizopo katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam wameamua kulala na wengine kuweka vijiwe nje ya kumbi walizopigia kura.
Kata za Jimbo la Segerea zina wajumbe zaidi ya 1,000 kwa kila kata, hivyo wengi wamesema kuwa huenda kazi ya kuhesabu kura...
Mbunge Wa Nzega Mjini aliyemaliza Muda wake Hussein Bashe amefanikiwa kuibuka kidedea kwenye Kula za Maoni na Kupitishwa na Wajumbe kwenye Kinyang’anyiro cha Kugombea nafasi ya Kuiwakilisha CCM kwenye Kiti cha Ubunge wa Jimbo Hilo .
Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10...
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando ameziomba taasisi zinazohusika na ulinzi na usalama pamoja na Chama cha Mapinduzi chenyewe, kufuatiliaji undani wa taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusu watu wasiofahamika kunaswa na wananchi wakiwa na kura feki katika Kata ya Gungu.
Tupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe.
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu...
Wakuu tujadili hii,
Ni kweli Ukiangalia kwenye madiwani, wabunge wa majimbo na viti maalum wengi wanaoongoza kura za maoni ni standard 7 au wenye elimu za kawaida
Je tatizo ni nini hasa kwa wasomi kupenya nafasi hizi?
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Nurdin Bilal Juma maarufu kama Shetta, Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa nafasi ya udiwani Kata ya Mchikichini, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unamuweka Shetta katika nafasi...
Pamoja na watia nia wengine walioidhinisha na kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa, namshukuru sana Mungu kwa kibali, ndugu yenu Tlaatlaah ninaendelea na kampeni za kura za maoni vizuri sana kwasasa, licha ya kwamba sikufanikiwa kufanya hivyo katika baadhi ya kata siku ya kwanza ya kampeni...
Ndugu wana JF,
Haya mambo ya wajumbe CCM naona itakuja kuleta shida huko tuendako. Wajumbe wanataka rushwa na wanaweza kuleta mtu ambaye wanachama hawamtaki.
Pia kumekuwepo na chuki miongoni mwa wajumbe. So mimi naona bora wanachama wote waruhusiwe kupiga kura za maoni.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitafanya kura ya maoni kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika ngazi ya Kata/Wadi na Majimbo kwa Tanzania Bara na Zanzibar Agosti 4, 2025. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa ndani wa chama wa kupata wagombea wake kwa ajili ya Uchaguzi...
Labda hili jambo ni geni kwa baadhi ya watu, lakini kwa waliokuwa kwenye chama kwa muda mrefu, haya mambo walitakiwa wawe wanayafahamu.
Nashangaa kuona watu wanalalamika kwamba wameonewa, ilhali walishindwa hata kujifunza na kuelewa mchakato huu tangu zamani.
Wajumbe wana kazi maalum, na hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.