kura yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

    Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani 1. Wa kutiki 2. Wa kutoka Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025 Namna ya kupiga kura 1. Tunatiki 2.Tunatoka Au 1. ⚒ 2.✌🏿 NB: Kura za mitandaoni huamua...
  2. Jidu La Mabambasi

    Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  3. hmaloh

    Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

    Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
  4. Allen Kilewella

    Usitumie Kura yako kuhalalisha upumbavu: Onesmo Mushi

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa,uchumi na kijamii, Onesmo Mushi, amewasihi watanzania kutoshiriki kupiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwani itakuwa kama ni kuhalalisha upumbavu. Mchambuzi huyo ameonesha kuwa tangu turejee kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa, wagombea wa Urais Kwa mwaka...
  5. erasto Samwel

    Kura yako ipo kituoni sio nyumbani kwako

    Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura...
  6. Kinyungu

    PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  7. Sir John Deere

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂 Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
  8. Pascal Mayalla

    Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  9. Setfree

    Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo? Jibu NDIYO au HAPANA Maelezo ya Upigaji Kura: Huruhusiwi kubadili jibu lako...
  10. Auto-Marvelt

    KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

    Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
  11. tpaul

    Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  12. Waufukweni

    LGE2024 DC Babati: Kura yako ni fyucha ya kitaa

    Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa. Akizungumza na wananchi, Mkuu wa wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda...
Back
Top Bottom