kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BoT, je kuna uwezekano wa kuongeza quality za noti zetu ili kupunguza gharama za kuchapisha mara kwa mara?

    Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu. "Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu" IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
  2. Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  3. Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  4. Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  5. Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
  6. SI KWELI Kula matango baada ya kuvuta sigara kunasaidia kupunguza athari zake

    Salaam ndugu zangu, Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara. Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona. Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
  7. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  8. Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  9. Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  10. Jerry Silaa anaweza kupunguza matapeli Ardhi? Wana mtandao, wamejazana wizarani, wana makampuni!

    Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi. Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
  11. Namna ya kupunguza upweke nyumbani

    Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo. Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa...
  12. K

    PreGE2025 Ninaishauri serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi

    Binafsi ninaona Majimbo ya uchaguzi ni mengi mno hivyo ninaishauri Serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa ushauri ufuatao: Jumla ya Halmashauri zote katika nchi hii ni 184 basi kwa mantiki hiyo kila Halmashauri iwe na Wabunge wawili yaani Mwanaume moja na Mwananmke moja. Majimbo ya sasa...
  13. Hayati Magufuli aliingilia ajenda ya kupunguza watu duniani

    IJUWE AJENDA YA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI HADI IFIKAPO 2030 NA CHAPA YA 666 JPM alivyohamasisha watu kutotumia UZAZI WA MPANGO, KUTOTUMIA CHANJO, KUHAMASISHA WATU WAZALIANE, ALIKUWA ANAENDA KINYUME NA AJENDA ZA FREEMASON. AJENDA IJULIKANAYO KAMA, (21--2030), YA FREEMASONS KUTOKA MWAKA...
  14. Y

    Wenye uzoefu namna kupunguza salio(float) kwenye machine za Selcom na bank ili kupata cash wanisaidie

    Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa, Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
  15. L

    China yaisaidia Afrika kupunguza nakisi yake ya kibiashara na China

    Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Madagascar, Mali, na Mauritania, kuanzia Desemba mwaka huu. Hii ni moja ya hatua...
  16. R

    Benki za Uingereza zatangaza kupunguza wafanyakazi wiki kadhaa kabla ya Krismasi

    Benki ya Metro inayopitia changamoto kwa sasa ilisema Alhamisi tarehe 30/11/2023 kuwa inatarajia kupunguza idadi ya wafanyakazi kwa 20% kama juhudi sehemu ya juhudi za kokoa Pauni milioni 50 (Tsh. Bilioni 1.2~) kwa mwaka. Tangazo hilo ambalo linaathiri takriban ajira 800, siku hiyo hiyo pia...
  17. Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

    TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 25/11/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
  18. Taratibu za kufuata ili kupunguza thamani za hisa za kampuni

    habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN. Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
  19. Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  20. N

    Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

    Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…