Salaam, Shalom!
Njooni tujadili,
Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep.
Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu inamwagika ardhini.
Sasa inapotoka adhabu, hakuadhibiwa Cain pekeake, ardhi pia inapewa laana.
Laana...