kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  2. R

    Jirani YANGU aliyenusurika kupigwa risasi na askari wenye kuvaa black amesema hawezi kwenda kutoa ushahidi

    Salaam! Anasimulia jirani. Ilikuwa jioni ya takriban sasa mbili usiku, mtu huyu alikuwa akitoka nyumbani kwa mamaye mzazi aliyekwenda kumtembelea majira ya sasa kumi jioni. Alipoaga na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwake ambapo asingeweza kufika kwa usafiri wa daladala,aliamua kutembea...
  3. Kaunara

    Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu. Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
  4. Think2

    PostGE2025 Mchungaji Hananja: Mwanangu alipigwa risasi kwenye maandamano. Chupuchupu afe, ana bonge la kovu mgongoni

    Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu. Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar
  5. Teslarati

    PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  6. The patriot man

    PostGE2025 Ni kweli tulichoma vituo vya mafuta na kuharibu mali za watu je napaswa kupigwa risasi au kupelekwa mahakamani?

    Sasa kama nimechoma Vituo vya mafuta na kuharibu Mali za watu je nahitaji kupigwa risasi au kufunguliwa mashtaka Je sheria inaruhusu mtu asiyekua na silaha kupigwa risasi? Je sheria inaruhusu mtu kufuatwa nyumbani na kupigwa risasi?
  7. Just Pray

    Kilio kizito cha wananchi wa Njombe mbele ya Mkuu wa Mkoa wakiwaombea waliouawa kwa kupigwa risasi

    Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na kuendelea kuliombea taifa libaki na Amani. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Makambako, Mtaka...
  8. M

    Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  9. Mafyangula

    GE2025 Mfanyabiashara wa Kariakoo, Sherry afariki dunia kwa kupigwa Risasi na Polisi

    Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa! Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii! Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa...
  10. M

    Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  11. M

    Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  12. tonicimmobility

    Mbona kama Polisi inamsemea Dogo Janja?

    Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia vitu. Wanadhani hatujui chanzo cha DOgo janja kumpiga risasi huyo dogo? Alafu siku hizi kumbe...
  13. R

    Video Tbt: Sugu akiwa bungeni akieleza sakata la wabunge upinzani (Tundu Lissu) kupigwa risasi kwa sababu ya hoja zao bungeni

    Wakuu, Nimekutana na hii video ya zamani Mbunge wa CHADEMA Sugu akieleza kile kilichotokea kwa Mbunge mwenzao Tundu Lissu kupigwa risasi akidai wakileta hoja wanatishiwa kupigwa risasi
  14. Wakusoma 12

    Nicolae Ceaușescu: Dikteta aliyeishia kupigwa risasi na wananchi wake

    Nicolae Ceaușescu alikuwa kiongozi wa Kikomunisti kuanzia mwaka 1965 hadi 1989 huko Romania. Awali alionekana shujaa kwa kujitenga kidogo na USSR, lakini baadaye akageuka dikteta hatari. Aliamua kulipa madeni yote ya nchi kwa kuuza chakula nje. Wananchi wakabaki na njaa, foleni za mkate na...
  15. M

    DOKEZO Responded GEITA: Kuna Kijana ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Pori la Kigosi, TFS na Jeshi la Polisi mbona mpo kimya?

    Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa. Kuna kijana amepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Hifadhi ya Msitu Kigosi ambayo inasimamiwa...
  16. E

    Dkt Mwigulu: Kuna viashiria vya uhalifu, watoto kutekwa, watu kupigwa risasi

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kusimama imara kuzuia vitendo vya uhalifu vikiwemo vya wa watoto kutekwa na kuuwawa, mtu mmoja mmoja kupigwa risasi kwenye makazi yake, hadi sasa kuna viashiria vya uhalifu huo. Ameyasema hayop alipokuwa...
  17. Echolima1

    Polisi watano wa Hamas waliokuwa wanawafyatulia risasi wapalestina waliokuwa wanakwenda kuchukua chakula wameuawa kwa kupigwa risasi.

    Polisi wa magaidi wa Hamas waliokuwa wanawazuia watu kwenda kwenye vituo vya kugawia chakula wameuwawa baada ya kulengwa na majeshi ya Israel walipokuwa wakiwazuia raia wasichukue chakula ili kudhoofisha juhudi mpya za ugawaji misaada kwa raia wa Gaza ambao hautawahusisha magaidi wa Hamas moja...
  18. Roving Journalist

    LHRC: Tukio la Emmanuel Lucas kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza (Mara), uchunguzi ufanyike na Haki ipatikane

    Dar es Salaam, 02 Aprili 2025. Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
  19. Beira Boy

    Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  20. Waufukweni

    Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
Back
Top Bottom