Katika uchaguzi mkuu wa Uganda, mbinu ya kipekee imeshuhudiwa ikitumika katika vituo vya kupiga kura, ambapo mabeseni yametumika kama vyumba vya siri kwa wapiga kura wakati wa kuchagua viongozi wao. Beseni hizo zimekuwa zikitumika kuwapa wapiga kura faragha wanapokuwa wanatia alama kwenye...
Hawa watu hawa! Wameona wakitaja ifadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa wana confirm kile watanzania wanasema kwamba ile asilimia 97 ni mtu.tu.alijiandikia.na kutangaza
Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize.
Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea.
Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha.
Ngoja tuone matokeo maana...
Husika na kichwa Cha habari hapo,
Kuna watu wanakadi za kupigia kura lakini kazi zao haziwaruhusu kutulia katika eneo moja, Tunawaomba INEC mturuhusu tupige kura ya Rais kwenye kituo kilicho karibu nasi.
Asanteni sana
Naomba nijifunze kupitia nyinyi, tiririka hoja zako hapo kisha weka kwa muhtasari tu kuonesha walikuwa sahihi au hawakuwa sahihi. Lugha ngumu (matusi, dharau, kebehi na mfano wa hayo) marufuku!!!
1. Ni sahihi
2. Siyo sahihi
Vijana wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani wamesema watatimiza haki yao ya kupiga kura kwa kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura Oktoba 29 mwaka huu.
Aidha, wameeleza kuwa Vyama vya upinzani haviwezi kushika madaraka kwa vina migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na tamaa ya kushika dola.
Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima watakuwa kwenye vituo vya kupigia kura na barabarani nchi nzima kwa idadi hiyo ?
Sasa inamaana wananchi watawaogopa askari wawili watatu barabarani au kuruhusu mmoja wao apigwe au kukamatwa, kumbuka maandamano sio kosa la jinai...
Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni Kuna mawakala wa vyama vyote?
Lengo la polepole ni kupotosha umma kwasabu anajua Hana chakuongea...
Kinachoendelea sasa ni matumizi ya vyombo vya dola na rasilimali fedha kuhakikisha taratibu zote za uchaguzi zinakamilika ikiwemo wagombea kuchukua form, kuhakikisha maandalizo yote ya uchaguzi yanakamilika mpaka kufikia hiyo Oktoba 29, 2025.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba, vyombo vya dola na...
Wakuu!
Kwa mujibu wa kanuni za mchakato wa uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya kupigia kura.
Sababu zinazotolewa ni kulinda usiri wa kura, kuzuia vurugu na kuhakikisha usalama wa mchakato...
Ni moja ya Kanuni ya ajabu eti Msimami wa kituo cha kupigia kura ana uhuru wa kuchagua wapi ahesabie kura. Anaweza kura zikapigiwa say Kimara, akaamua kuhesabia Kigamboni ofisi ya CCM.
1. Humo njiani usalama wa kura anaulinda nani?
2. Mawakala wanafikaje huko alikohamishia
3. Let say wameamua...
Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo.
Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura
Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA
Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza.
Chama cha ACT-Wazalendo kinawasilisha rasmi malalamiko dhidi ya kauli na agizo lililotolewa na Mkuu wa...
To the point.
Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA.
Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
Habari
Kumekuwa na tabia tokea uandikishwaji wa daftari la wapiga kura lianze, wajumbe wa CCM wanapita majumbani kukusanya namba za vitambulisho hasa kwa wamamaa, tunajiuliza wanazipeleka wapi?
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu.
=====================
Taarifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.