kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kupiga kura ni haki ya kila Mtanzania, kutokupiga kura pia ni haki ya kila Mtanzania aliyeamua hivyo. Tusibembelezane

    Binafsi nitatumia haki yangu kutokupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Kuna watu hata sura moja ya katiba ya JMT hawajawahi kuisoma lakini wanakwenda kupiga kura, safi wanatumia haki yao, Mimi katiba karibu yote nimeisoma nimeamua kukaa nyumbani au kwenda kazini...
  2. JamiiForums Tanzania Nilijiandikisha kupiga kura kwa mara ya kwanza nikiwa kitado cha nne, sioni maajabu yoyote wanafunzi kuandikishwa

    Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa CCM inaandikisha wanafunzi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Wandugu, as long as hao wanafunzi watakuwa wamefikisha umri wa kupiga kura wakati wa uchaguzi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, ni haki yao kupiga kura. Mbali na mashuleni, CCM...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wanasema ni haki yenu kikatiba kujiandikisha kupiga kura hao hao wanasema kuandama ni uchochezi na uvunjifu wa amani!

    Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
  4. JamiiForums Tanzania CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

    Kauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo . CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jimbo la Rungwe, Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni

    Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni. Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma ! Tutaenda nao hivyo hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Watu zaidi ya 150,000 watumia siku moja kujiandikisha daftari la kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

    Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inanufaika nini na wananchi wengi kujiandikisha na kupiga kura? Mbona hamasa ni kubwa mno?

    Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba. Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA. Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Prof. Muhongo Amejiandikisha Kupiga Kura Tarehe 27.11.2024

    Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024. Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata ya kwao ya Kiriba, yenye vijiji 3 na vitongoji 24, na kupata yafuatayo: (i) Idadi ya wapiga kura...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

    Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi? Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tujiandikishe kupiga kura

    Nimejiandikisha kupiga kura nikiwa mtu wa kwanza kwenye mtaa wangu. Wewe Je?
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha bila kukosa, mamia kwa maelfu kupiga kura 2024 na 2025

    Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati, matumaini, na sauti za vijana katika umri wa miaka 18 hadi 45 zinaweza kuwa chachu ya mabadiliko...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 Kuna watu wanaandikisha Vitambulisho vya Kupiga kura mara mbili na vinatoka

    Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti. Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa wizi kama Chaguzi nyingine.
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Zainab Telack Ahimiza Wananchi Kujiandikisha Ili Kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 11 hadi 20, 2024 na upigaji wa kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Wito huo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupiga kura kutokana na taarifa ambayo baadaye ulikuja kugundua ni uongo?

    Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura. Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2020 sikupiga kura, ila safari hii nitapiga kura

    Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu. Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye. Kwa sababu, 1. Uongozi wake umepwaya ni wa vitisho na mabavu. 2. Utawala wake hauzingatii utawala...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

    Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa. Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yaliyotokea 2015, 2019 na 2020 na yanayoendelea nimekata tamaa ya kupiga kura kabisa kama kuna ushauri wa kisaikolojia naomba nisaidiwe

    Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu. Chaguzi zenye haki...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kama sehemu ya vituko!

    Kutoka Maktaba!
  20. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Profesa Assad alisema Sitapiga kura hadi nchi hii tuanze kupiga kura kidigitali

    Ni kweli Profesa Assad alisema hatapiga kura hadi nchi hii ianze kupiga kura kidigital? Alisema lini na akiwa wapi? Maana naona kauli hiyo tu watu wanashare ila sioni wakisema chanzo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…