kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Myanmar kuendelea kupiga kura katika uchaguzi uliotawaliwa na Jeshi

    Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
  2. Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  3. GE2025 Mwambegele Atuambie Kama Kulikuwa na Proxy Voting. Kwamba Watanzania Walimpa Idhini ya Kupiga Kura Kwa Niaba Yao!

    Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%. Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao uligubikwa na tension kubwa, ukawa na hii unprecedented voter turnout? The only reasonable explanation ni...
  4. GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  5. L

    Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  6. W

    GE2025 Kilimanjaro: Prof. Mkenda afurahia muitikio wa wnanachi kupiga kura

    Mgombea ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Prof.Adolf Mkenda, ameshiriki kwenye zoezi upigaji kura katika kituo cha Nduweni, huku akiridhishwa na wingi wa wapiga kura waliojitokeza.
  7. W

    GE2025 Prof. Mkumbo: Hali ya hewa ni nzuri wananchi jitokezeni kupiga kura

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia @ccmtanzania Professa Kitila Mkumbo amepiga kura leo katika kituo cha Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam Source Jambo TV
  8. GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  9. R

    GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  10. GE2025 Mgombea Urais SAU Majalio Kyara: Utaratibu wa vituo upo vizuri kwahiyo wananchi endeleeni kujitokeza kupiga kura

    Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amepiga kura yake leo katika kituo cha Buyuni Jimbo la Ubungo. Baada ya kupiga kura alizungumza na wanaHabari akisema hadi sasa vituo vya kupiga kura utaratbu upo sawa na wananchi wanaendelea kujitokeza lakini pia...
  11. GE2025 Tulia: Watu wengi wamenza kupiga kura na wengine wanaendelea kujitokeza na Jimbo la Uyole litaongoza idadi ya watu watakaopiga kura

    Tulia: Watu wengi wamenza kupiga kura na wengine wanaendelea kujitokeza na Jimbo la Uyole litaongoza idadi ya watu watakao piga kura Tulia amepiga kura katika kituo cha Tamukereli ambacho kipo kata ya Itenzi baada ya kupiga kura Tulia Akson amefurahishwa kuona watu wengi wamejitokeza hadi muda...
  12. GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

  13. GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  14. GE2025 Tukio la kupiga kura ni fursa ya Kumtambua Jirani yako na mtanzania mwenzako

    Uzoefu wangu katika kupiga kura unaonesha siku ya uchaguzi mkuu ni siku muhimu inayotoa fursa ya majirani kufahamiana.Kupiga kura ni alama muhimu ya kuthibitisha utanzania wako na pia ukazi wako katika eneo husika. Asubuhi na mapema nitaenda kuwatambua majirani zangu ambao hatujuani tunatoka...
  15. W

    GE2025 Hivi kupiga kura ni kulazimishana siku hizi, kuna watu wanapita mitaani kutishia watu wakawapigie CCM

    Tunajua kupiga kura ni haki ya kila mtu lakini sio kwamba ni kulazimishana. Wahusika wa uchaguzi wanatakiwa kuwashawishi wananchi kwenda kupiga kura na sio kutumia nguvu. Nimepita maeneo ya mtongani nimekuta jamaa mmoja kapigwa watu wamemzingira. Ikabidi niulize bodaboda walioko eneo hilo ndo...
  16. Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  17. GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
  18. R

    GE2025 Askofu wa Kanisa la Anglikana, Jacob Kahemele amewasihi Watanzania kupiga kura Oktoba 29, 2025, baada ya hapo watazungumza wanayoona hayako sawa

    Kutoka X: Askofu unakuwaje na mke mtumishi wa umma ? Halafu unaibuka kutetea serikali iliyompa cheo mkeo? Haoni haja ya kukemea utekaji, mauaji and the like, ameona la muhimu ni kupiga kura. Takataka mavi Huyu ana mke na watoto, lazima atetee tumbo la uzao wake. Mtombi tu kama watombi wengine
  19. GE2025 Nyarandu: Vijana wote wawe mstari wa mbele, wawasaidie wazee watakapofika kupiga kura

    Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana siku ya uchaguzi kutoa nafasi kwa watu wasiojiweza kama Wazee, walemavu na wajawazito kupiga kura kwanza ili kutimiza haki hiyo ya kikatiba. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza, Nyalandu...
  20. GE2025 Vita ya Kisaikolojia katika uchaguzi: Matumizi ya Jeshi na Polisi

    Katika vita yoyote, mshindi mara zote ni yule mwenye kisosi jasiri, nyenzo za vita, na mbinu za ushindi. Hata hivyo, ujasiri ndio kiambata muhimu zaidi katika saikolojia ya mwanajeshi. Bila ujasiri na morali, nyenzo za vita zinaweza zisiwe na maana sana, na unaweza ukajihakikishia kuwa, jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…